Mapenzi si mchezo

Kuna mahala tulikutana jinsi unavyozungumza nilijuaga wewe ni mwanaume matured hasa,, lakini baada ya kuwa nasoma hizi mada zako nakuona kama boy flani hivi wa form two,,, samahani sana kama utakwazika
Hapana mi niko stress free katika life,kwenye kazi ni kazi,biashara ni biashara,na kuna muda wa starehe pia.Sio muda wote unakuwa bize kutafuta,wakati life is too short.
 
Hapana mi niko stress free katika life,kwenye kazi ni kazi,biashara ni biashara,na kuna muda wa starehe pia.Sio muda wote unakuwa bize kutafuta,wakati life is too short.
Hizi mada achana nazo vipo vingi vya kujadili km njia ya kurelax

Hizi mada ni za watu walio kwenye balehe
 
Hizi mada achana nazo vipo vingi vya kujadili km njia ya kurelax

Hizi mada ni za watu walio kwenye balehe
Ha ha ha ha watu wa rika moja wakikutana wanakuwa na akili za kitoto;jaribu kufanyia utafiti mkuu;mfano mashuleni,makazini n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…