Mapenzi sawa na kichaka

Mapenzi sawa na kichaka

hahhaha tupite kimya kimya basi hahhaa, unahatari wewe

Nna hataree kama ya kupelekwa Regency hotel ? Au ya kujihisi hisii mpaka watu wanapanic

Halaf nimependa mkao wako umejibinua vizuri kweli ntakuja unifundishe
 
hahahhahha uwiiiii, Dina sikuweziiiii
subiri kushikwa mkono kwenye party,😛hoto:
 
yahitaji Moyo wa ziada kumtengeneza mtu akupende... yawezekana ukatumia nguvu nyingi sana ila kama moyo wake haupo nawe HATOELEWA CHOCHOTE..
 
what are the procedures to join this team

!
!
tuanzishe thread yake tofauti au tuendelee hapahapa?.....ila kifupi tu ni kwamba lazima uwe ulikuwa katika relationship serious zaidi ya tatu......uwe umeshaumiza na kuumizwa mara kadhaa....uwe unauwezo wa kujitegemea,. Na uwe umeshaishi mjini kwa miaka zaidi ya kumi na tano...additionally but not necessary, uwe mwanachama hai wa MMU
 
nimetimiza vigezo na masharti
 
Mapenzi ni sawa na ugonjwa mkuu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom