Anthony Threedeyea
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 471
- 47
Utafanya nini ukifahamu mpenzi umpendae anasaliti?
Pendo lako ungefanya nini ukijua mpenzi wako ana mpenzi wake wa kitambo machozi hayawezikuisha kamwe moyo?
unavurugwa kuna vitu unaweza kataa ila sio mapenzi maumivu yake yatakukumbusha time uliopoteza ulipo kuwa nae watu wanashindwa kula hata maji wanashindwa kunywa .
PLS USIMLAZIMISHE AWE WAKO...