Mad Scientist
JF-Expert Member
- Jul 27, 2013
- 215
- 77
- Thread starter
- #21
Mapenzi pesa bwana huo ufundi nitakufundisha tu labda uwe mkaidi....et mapenzi ufundi unalipa bili huo ufundi????
Vipi jamaa akiwa na pesa halafu doroooo.
Mapenzi pesa bwana huo ufundi nitakufundisha tu labda uwe mkaidi....et mapenzi ufundi unalipa bili huo ufundi????
Nahisi nimeanza kukuelewa
Ndo hivyo ndugu yangu
Ila kwa kesi yako inabidi hapo wote wame watumishi.
Vipi jamaa akiwa na pesa halafu doroooo.
Ngoja niende BOT nikaiulize ina wapenzi wangapi.
Ntaleta mlisho nyuma.
Kama itakuwa imechepuka na videmu vya bureau de change hakyamama ntatafuta pesa Mkombozi bank imesingiziwa...
Kwanza nikusahihishe, Kuchepuka hakuko subject na chochote kati ya ulivyovileta. Pili, ufundi ukiwa na pesa ni added advantage, ufundi bila pesa umeuawa ndugu. Pesa ni changamoto kwa dada zetu, hata uwe fundi vipi pesa zinaleta ufundi zaidi. Pesa inapunguza ku cheat kwa akina dada, kwa kuogopa challenge za maisha. Tafuta pesa acha ubishi ili kama interest yako kina dada u uwapate.
kama mapenzi ufundi bas aende VETA
mapenz pesa bhana
Ufundi peleka veta hahahaha
Mapenzi pesa bwana huo ufundi nitakufundisha tu labda uwe mkaidi....et mapenzi ufundi unalipa bili huo ufundi????