Mapenzi nomaaaa...haya tena wana ndoa..

Aisee kuna watu wana roho ngumu
 
Duh sijawah ona, hii imezidi. Mwanaume anayefanya hv jela haimtoshi. Adhabu yake anatakiwa anakatwa kipandekipande akiwa hai ili ayasikie maumivu na atambue jinsi gani mwenzie amepata maumiv.
 
hapo sawa tena sio vikojoleo tu na wale jirani zake wawili.

kule kwetu mbeya hao majirani watatu tunawaita ndizi na matakapera!
ila jamani kisa ni hiki hiki kidude?au kuna lingineeee jamani!
 
Ndio maana tunaita ukatili kwa sababu wanaume wanoongoza kwa kuchiti lakini nani anawacharanga viwembe?????
tunaanzaje kuwacharanga viwembe wakati wao ndo VIWEMBE VYENYEWE!a.k.a VIJOGOO!
 
Kumbe hapo bado hujatukana? Nakusalimia tu shemeji, shkamoo!

Nachoshukuru ni kwamba kila siku nazidi kujiongezea mashemeji hapa JF. Msalimie mdogo wangu (najua mimi ni mkubwa)πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto:
 
very sad aisee! km kuna wengine humu jukwaani jirekebisheni,haya si mapenzi ila ni uonevu na unyanyasaji.
Kama mapenzi yenyewe ndiyo hivi, mimi nitakufa na bikira yangu. Sitoi kwa mwanaume yeyote ng'o!
 
Kama mapenzi yenyewe ndiyo hivi, mimi nitakufa na bikira yangu. Sitoi kwa mwanaume yeyote ng'o!

Jamani Binti.com hebu tuliongelee vizuri hili suala lako..PM me.
in other news, inawezekana huyo binti alivamiwa na majambazi....
 
Last edited by a moderator:

Kule wanakochoma makanisa wanasemaga Mke anauma sanaaaaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…