Mapenzi nomaaaa...haya tena wana ndoa..

inasikitisha sana yaani kweli vivu upo ila ni beter kuachana sio kufanya unyama kama huu
 
Yako wapi mapenzi yenu ya mara ya kwanza mlipokutana hadi mkaamua kufunga ndoa..halafu mwisho wa siku ni kukatana mapanga?jamani hii akili au?si bora muwe ma senior bachelor kama uwezi as ndoa nayo ni wito..unyanyasaji huu kwa wanawake haukubaliki kabisaaa bora muambiane ukweli na sio kukatana mapanga..huku jamiii kama kuna mtu anatabia ya kumchapa mkewe nae aache kabisa hii tabia najua hamkosi kina chacha mwita muraaaaa......

this is not humanity.
 
Niliwahi kupokea mwanamke akiwa amecharangwa kama hivi na mumewe kwa wivu wa mapenzi wakati bado nafanya kazi hospitali...alifariki huyo dada, nilidocument kila kitu kuwa tayari kuitwa mahakamani kwa ushahidi....mpaka leo ni miaka 6 imepita...sijaitwa mahakamani kwa usdhaidi, wala sijui kama ilifunguliwa kesi! Inauma sana watu wanapofanya unyama wa kiasi hiki...and they get away with it!


Yes the worst thing in all these such men get away with it. Yani wanawake tunawaambia kila siku once a man raise his hand on you walk away,no matter how much you love him!
 
Back
Top Bottom