😂😂😂😂😂laiti kwenye mapendo kungekua na kitufe cha kujiuzulu ama kustafu huwezi amini wananzengo wengi wangejitoa.
Utajua tu mkuu hata machache11,hakikisha hujui yote hayo hapo juu unaweza kujiua usipokuwa makini.
Mapensi mapensi mapensi mabayaa🤣🤣🤣 ndio maana nikaamua kuwa baharia.
Hamna namna ingine mkuu!Wee ni kugegeda warembo tuu au sio