Sema kwako, au ukiingia kiushamba wanawake wanaumuhumu fulani kwa utulivu wetu kwa mfano mimi siwezi kumaliza mwezi bila kua na mke wangu.Unapoteza mda mwingi kutafuta mapenzi,badala ya kutafuta pesa unajisumbua na vitu vya kishenzi. Kwan mwanamke anafaida gan katika maisha yako,na hujui lengo lake n kukuangamizia ndoto yako,na kubaliana na mwamba tajiri tanzite maana ss tukiwa kama wanaume weupe,hatujisumbui na uchafu,takataka
Hana hela huyu anakuja kusumbua watu,katapeliwa na malaya akili zimemkaa sawa.Sema kwako, au ukiingia kiushamba wanawake wanaumuhumu fulani kwa utulivu wetu kwa mfano mimi siwezi kumaliza mwezi bila kua na mke wangu.
Aliingia kiushamba na akaumizwa masikini anakuja kutoa stress zake, kwa kuhimiza wengine huo upuuzi.Mzee umepigwa tukio nn mpaka unatoa povu
Raha mnapata wote cha ajabu gharama kwako ~ zohaniUnapoteza mda mwingi kutafuta mapenzi,badala ya kutafuta pesa unajisumbua na vitu vya kishenzi. Kwan mwanamke anafaida gan katika maisha yako,na hujui lengo lake n kukuangamizia ndoto yako,na kubaliana na mwamba tajiri tanzite maana ss tukiwa kama wanaume weupe,hatujisumbui na uchafu,takataka
Wewe nawewe ni dhaifu kabisa.Sema kwako, au ukiingia kiushamba wanawake wanaumuhumu fulani kwa utulivu wetu kwa mfano mimi siwezi kumaliza mwezi bila kua na mke wangu.
Mkuu kama ni dharula hata mwaka na zaidi naweza ila kwa hali ya kawaida siwezi kujiumiza, wanawake wanatupa utulivu wa akili hasa ukimpata ule sahihi mwenye vinasaba vyote vya kike unakua na utulivu na focus ya kaziWewe nawewe ni dhaifu kabisa.
Yaani huwezi maliza mwezi tu ukiwa na mkeo?
Wewe ukifungwa jera itakuwaje? Kuna wanaume miezi na miezi hawapewi unyumba lkn jpl na biblia na hawawazi
Hawa vijana wa 2000 light skin wa kimatumbi wana shida kubwa sana bwasheeMleta mada anajisifia kua yeye ni "Mwanaume mweupe" kauli hii inatosha kabisa kumjua mleta mada kua ni mtu wa aina gani.
Mtu wa CHAPUTA huyo, anaona mkono mtamu kuliko mbususu.Hana hela huyu anakuja kusumbua watu,katapeliwa na malaya akili zimemkaa sawa.
Anaweza aka sio lizki mkuu????í ¾í´í ¾í´í ¾í´Hawa vijana wa 2000 light skin wa kimatumbi wana shida kubwa sana bwashee
Duh sina hakika bwasheeAnaweza aka sio lizki mkuu????í ¾í´í ¾í´í ¾í´
hebu tufikirie ujinga kidogo,Duh sina hakika bwashee
Atajua mwenyewe bwashee 😆hebu tufikirie ujinga kidogo,
1-anakataa mahusiano na wanawake.
2-anamaani kusex na wanawake ni ujinga.
3-anajisifia yeye mweupe.
4-…………………
Hapo mwisho tunamaliziaje?