KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,759
- 86,409
Mapenzi ni mhemko wa hisia za kupenda/kuvutiwa baina ya mwanamke na mwanaume.. mapenzi ni muunganiko wa kile kilichotenganishwa Kati ya mwanamke na mwanaume ,namaanisha jinsia.
Mapenzi ni mahusiano Kati ya mwanamke na mwanaume ambapo kwayo kilichotenganishwa kimeungwa.
Mapenzi ni dhana halisi ambayo wapenzi wawili hutakiwa kuishi kwa makubaliano yao na hisia zao na uwezo wao wa kiakili.. endapo wengi wamekuwa wakiyahukumu mapenzi lkn kaa ukijua mapenzi hayana shida ila wapenzi ndio wenye shida,kwani wenye kutenda ni wapenzi na si mapenzi.
Weekend njema