bishontongo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 239
- 223
hahahaa Me too unatengeneza mazingira ya kuhongwa eeh.mapenzi ni kubeba jukumu la kumlea, kumtunza, kumjali, mwenzio km wazazi wako walivokufanyia.
yaani ukimpata mpenzi mfanye ajifeel km vilebado yupo kwa mama / baba yake umpe upendo wote na mwanaume amhudumie mwenza km alivokuwa akihudumiwq pindi alipokuwa kwa wazazi wake.
Sasa hapo kwenye pesa ndo pananisumbua sijui nani nitaempenda akanivumilia sina pesa za kutosha Mungu anisaidie kwakweli maana nimeshindwa mapenzi hayaMapenzi ni Pesa
Mapenzi ni uchafu
Mapenzi yanauwa
Mapenzi ya kweli
Mapenzi kitandani
Yaani kiufupi Sijui mapenzi ninini....