Mapenzi ni nini jamani?

Mapenzi ni nini jamani?

Raynavero

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2014
Posts
38,380
Reaction score
56,078
Wadau hivi tafsiri sahihi ya mapenzi haswa ni nini?

Wanasema mapenzi yanarun dunia ni kweli?
Kwa nini ukimpenda mtu unamtamani muda wote?

Hivi kwa nini mwingine anaua au kuuwawa kisa mapenzi?

Kwa nini wengine wanaona wengine wanaachana?
Hivi kwa nini baadhi hujinyonga eti kisa mapenzi!?

Mapenzi yanaishi au hupatikana wapi?moyoni,machoni,akilini au mwilini?

Kwa nini wapo husema mapenzi pesa wengine husema mapenzi akili?

Hivi haya ni kitu gani?
Mapenzi ya DHATI ni yapi?

Jamani kwa nini wengine wanapendwa wasipopendwa?huku wengine wanapendana wote?

Hivi unaweza kumdhuru au kumsaliti unayempenda kwa dhati?

Unaweza penda mume au mke wa mtu?
Unawezaje penda mtu usiemfahamu?

Aiseee!mapenzi jamani!
 
Mapenzi ujinga wa mpendaji, ndiyo tafsiri halisi.
 
Mapenzi ni pesa tu sikuhizi, kinyume na hapo unafiki ndio umekithiri jiandae kulizwa tu.

Jitafutie vyanzo kadhaa vya kipato kisha utaona mapenzi yanavyokufuata kwa kasi. The shit is so stupid aisee.
 
Back
Top Bottom