Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,096
- 62,038
Ningetamani nimuoe mkuu ila changamoto iliyopo nilishaoa mkuuMuowe tu hayo ya gharama hutoyapata
Daah utakuta bi mkubwa anashindia nyanyaNingetamani nimuoe mkuu ila changamoto iliyopo nilishaoa mkuu
Kweli mkuu usipokuwa makini unaweza kuharibu kila kitu;kwa upande wangu 3/4 ya mapato yangu anakuwa nayo bi mkubwa inayobaki ndio matumizi yangu binafsiDaah utakuta bi mkubwa anashindia nyanya
Kwa nini mkuu?Wanawake walolioolewa wana shida sana
Umemsaliti sana mkeoKwa nini mkuu?
ha ha ha hapana mkuu,yeye hapendi kupigwa mpini mara kwa maraUmemsaliti sana mkeo
Kwa hiyo anapenda kusalitiwa?ha ha ha hapana mkuu,yeye hapendi kupigwa mpini mara kwa mara
ha ha ha unajua mkuu,haya maisha ya ndoa yanachangamoto zake...unaweza ukawa unahitaji tendo mara kwa mara,ila mwenzio hizo nguvu za kustahimili hiyo mikiki mikiki akawa hana;sasa ili udumishe ndoa na usilete maudhi ndani inakulazima kutafuta wa pembeni kwa ajili ya fire tu.Kwa hiyo anapenda kusalitiwa?
Sidechick sio shida, shida ni kuwa kama mwenzi wako haridhii inakuwa tabu tenaha ha ha unajua mkuu,haya maisha ya ndoa yanachangamoto zake...unaweza ukawa unahitaji tendo mara kwa mara,ila mwenzio hizo nguvu za kustahimili hiyo mikiki mikiki akawa hana;sasa ili udumishe ndoa na usilete maudhi ndani inakulazima kutafuta wa pembeni kwa ajili ya fire tu.
Hii huwa ni siri ya baharia hutakiwi kumuambia aliye ndani ingawa atahisi kwa sababu ule usumbufu wako utapunguaSidechick sio shida, shida ni kuwa kama mwenzi wako haridhii inakuwa tabu tena
Ukumbuke pia mwenzio naye anachapwa pembeniHii huwa ni siri ya baharia hutakiwi kumuambia aliye ndani ingawa atahisi kwa sababu ule usumbufu wako utapungua
ha ha ha inategemea mkuuUkumbuke pia mwenzio naye anachapwa pembeni
Mapenzi ni matamu ila ni gharama. Nimelithibitisha hili baada ya kipindi fulani kwenda kwenye mapumziko ya siku saba na mrembo wangu mwenye chura matata.
Kabla ya kuanza safari nilikuwa nimeweka bajeti na nikaiamini bajeti ile ingeweza kutosha, baada ya kufika eneo la tukio na mashamsham ya hapa na pale, mitego ya hapa na pale nikajikuta matumizi yanazidi bajeti.
Mrembo akisema baby nataka kile unajikuta unatekeleza tu, hata kama huna utajitahidi ufanikishe ili siku iende vizuri.
Mwisho wa siku nikajikuta nimetumia zaidi ya kile nilichokipanga, kweli mapenzi yanavuruga bajeti hasa kwa mtu umpendaye.
Ukishapata mume acha kuzurura huku JF![emoji41][emoji41][emoji41]Naona wazinzi mpo kwenye kikao, mimi ni nani mpaka niwaingilie kwenye maongezi yenu
Nakubaliana na wewe mkuu,utajikuta unatumia kila njia ili uweze kufanikisha lengoIvi mkuu umewahi ku note kwamba hela za kutumia na mchepuko hua hazikosekani? Yaani hata uwe umeishiwa kiasi gani, demu akijilengesha utashangaa jinsi ambavyo utatafuta hela kwa namna yoyote ile ili ukajivinjari.
Mkuu,huna garama nijisogeze meza ya bwana?Naona wazinzi mpo kwenye kikao, mimi ni nani mpaka niwaingilie kwenye maongezi yenu