Mapenzi ni maisha kuwa muangalifu!

Mapenzi ni maisha kuwa muangalifu!

Mkuu hongera sana,wewe siyo kama wale waonao mtu anatuhumu mwingine hudandia na kuanza kumponda mlalamikiwa.Hakika,wadada wajiangalie mara mbili mbili,unamwambia mtu nataka hivi au namna hii,anakuahidi mwanzoni baadaye atakwambia hawezi,mtu anashindwa kutenda to cherish love halafu akipata jukwaa anaanza kulaumu bila kujifanyia tathmini.Ukiona mtu ana kwazwa na kitu fulani katika mahusiano hata kama ni kidogo mithiri ya punje ya haradali,rekebisha vinginevyo kitatengeneza expansion joint ambayo mwishowe litakuwa korongo mfano wa bonde la Gihhonim kule Jerusalem.

Uko sahihi kabisa mkuu,pande zote ni za kujiangalia, maana hakuna aliye mkamilifu "she" ana udhaifu huu na "he" ana udhaifu ule!kila mmoja ana la kufanya ili kuweka mambo sawa!
 
Mapenzi kweli ni Maisha, hivyo ni jukumu letu sote kubadirika na kuleta kama sio kuongeza Ubunifu.

Tutazame Dunia inavyo badirika kwa kasi (Sayansi na Teknolajia) pia ni jukumu letu katika mahusiano kufanya juhudi kuendana na mabadiriko hayo, ili kwa pamoja tuweze kwenda na wakati.
 
Hakika,wengine huona wao ndo wako sasa hutumia defence mechanism ya projection ili yule aonekane ndo mbaya bila kujiangalia wenyewe kwanza.Wote tuna madhaifu mengi ila inakera mtu anakubali kwamba niko hivyo na siwezi kubadilika,inauma sana.
 
Hayaa yotee hujaa kama mwanaume umechoka vioja vya dada zetu unaamua Kuwalaa na kuachaaa...!! Me kuna mdada nimemfanyia hivii mpaka namuonea hurumaa... sio jambo zuriii lakini kiukweli nilimtamani tuuu sikuwa ready kuwa naee ukizingatia tupo mikoa tofauti... Ilaa mimi pia nilitendwaa nadhani siku hizi moyo wangu umepata ganzi... Yani kuachana na manzi sio swala la kuniumiza kichwa..maana najua Wapo wengiii sanaaa na ntapata mwinginee... So.wadada ndo waanga wakubwa wa hii ishu
 
Mapenzi kweli ni Maisha, hivyo ni jukumu letu sote kubadirika na kuleta kama sio kuongeza Ubunifu.

Tutazame Dunia inavyo badirika kwa kasi (Sayansi na Teknolajia) pia ni jukumu letu katika mahusiano kufanya juhudi kuendana na mabadiriko hayo, ili kwa pamoja tuweze kwenda na wakati.

Mgodo visa Nakubaliana na wewe Kwa hakika Asante sana!
 
Hakika,wengine huona wao ndo wako sasa hutumia defence mechanism ya projection ili yule aonekane ndo mbaya bila kujiangalia wenyewe kwanza.Wote tuna madhaifu mengi ila inakera mtu anakubali kwamba niko hivyo na siwezi kubadilika,inauma sana.

Uko sahihi sana Balibabambonahi,Wapo wanaojifanya Malaika hasa,hawakosei kabisa dah!Ni wasanii hawa Kwa maisha ya watu!
 
Nilichojifunza ktk safari ya maisha ya mwanadamu,Haijalishi ni wakati gani ktk maisha yako Penzi laweza ibuka mahali na wakati wowote!Na ikatokea kabisa ukampenda Mtu Kwa dhati ya Moyo wako!yaani ukajikuta tu unampenda Mtu kuliko chochote! Hata ujilazimishe vipi inakuwa ngumu sana kumuondoa akilini!kupenda huku yawezekana umeanza wewe au mwenzio kasababisha!

Ukweli ni kwamba tumelelewa na kupata makuzi ktk namna na mazingira tofauti,bila shaka ndiyo maana tunafanya tuyafanyayo bila kujali ni Kwa namna gani maamuzi yetu yanaweza waathiri wengine.Nimepitia visa vingi humu kikiwepo cha Mtu fulani Juzi [emoji849]na ktk maisha yangu ya kila siku pia nimepata uzoefu wa aina hii! Mapenzi Yanaumiza endapo uliyempenda ulidhani naye anakupenda! Mjue Kwa wasiojua hili na mkumbuke Karma ni halisi!!Wapo watu wanashindwa kutambua thamani ya maisha binadamu wenzao ya kila siku.Fanya kama utakavyo utendewe,usichopenda kutendewa katu usifanye!

Nachojua Mapenzi yanagusa kila nafsi inayoishi! Nimesema Mapenzi ni
Maisha Kwa sababu unapodhamiria kumpenda Mtu haijalishi ni ktk mazingira gani,unakuwa umetoa muda na maisha yako Kwa wakati huo Kwa ajili yake!Hivyo ni Budi kujitahidi kuthamini maisha ya mwenzio japo hii inaweza isieleweke Kwa wale wanaona ni kawaida kufanya michezo na maisha ya wengine! Na bado wanajiona ni wababe!lijueni hilo na kuifundisha jamii yetu!tusipofanya Toba mwisho wa siku tutoa hesabu!Leo waweza jiona mbabe,smart n.k je kesho yako waijua??Tenda mema kadri uwezavyo!

Kama unajua hauko serious Kwa nini kupoteza muda na Maisha ya mwenzio?kwa nini kujifanya smart kuchezea akili za watu???assume huyo unayemfanyia ni kaka yako,mama,dada,mkeo,binti au kijana wako?Utajisikiaje?? Fikiria anaumiaje!wajua maumivu ya kupenda ni makali mno hayaelezeki! Najua yawezekana huwa kuna nyakati katika Maisha tunajitoa ufahamu Ila Mara turudipo ktk akili zetu tukumbuke kuna malipo Kwa kila tutendalo liwe jema au baya!

Nimejisikia kushare nanyi huu ujumbe nikiamini hadi leo wapo watu wameumia na kuumizwa na Mapenzi!kila mwanadamu anahitaji kupenda/kupendwa!kama hauko serious acha kuchezea mioyo ya watu bure!!nenda Kwa vijiwe kama corner bar wapo watu special Kwa huduma za za muda mfupi ambao wako kikazi zaidi!na hawatakuwa attached na wewe! tumia elimu vizuri,tumia Imani yako vyema,umri nao ukusaidie pia!

Wewe unayejiona mshindi Kwa kuumiza wenzio,kumbuka unajiwekea akiba utavuna stahili yako!jali maisha yako/wenzako,jali afya yako pia siyo kila umuonaye anavutia yuko salama,ongeza umakini ktk maisha yako,Jali watu wanaokuzunguka!kama una familia ithamini Kwa matendo siyo maneno!acha kutafuta ubaya usio na sababu!Mthamini Mtu aliyekupa maisha yake,muda wake,hutapungukiwa!Ifanye dunia kuwa mahali salama pa kuishi!kuwa na utu daima!

Wewe na mwenzio mkiwa na tatizo,basi jua chanzo cha tatizo hilo ni wewe!kwamba nyote ndiyo chanzo hivo kila mmoja ajitathimini na siyo mmoja kumlaumu mwenzio!

Nawatakia Kila lililo jema tunapoelekea kumaliza huu mwaka,Mungu atulinde na kututunza!tuwe mabalozi wema!usiwe sababu ya mwenzio kuumia!!
Amina, barikiwa mpendwa[emoji120]
 
You sound like The lady I used to love and know!
Before she dumped me!
 
"Tenda vile unavyopenda kutendewa na wengine, usitende vile usivyopenda fanyiwa"
 
Kwa hawa mademu wachumia tumbo, wapenda pesa kuliko mtu kuna haja ya kuogopa kuwaumiza kweli?!

Nakuona kabisa unachofuata kwangu ni pesa na mizinga ya kila aina, nikikubwaga eti oooh amenitenda! Pumbaf!
 
Back
Top Bottom