Duh! Kukaa uswahilini kunahitaji moyo...
Mara nyingi sisi wanaume tukishaoa, hatutaki tena kuwa saidia wake zetu kwa baadhi ya majumu ya ndani, hasa kufua nguo, kuonsha vyombo au kutandika kitanda kama sio kupika.
Kwangu mimi naamini kuwa saidia baadhi ya majukumu wake zetu na mahala zetu kwa wale wenye kukaa kinyumba bila kurasimisha. mimi sio mtaalamu sana ila naamini wenzangu ni wajuzi mwaweza kutiririka tukapata uzoefu zaidi....
Mhhhh...Hata mtume muhammad(S.A.W)alikuwa akiwasaidia wake zake katika majukumu ya nyumbani!Sembuse wewe Dr.Mosi dhani kwa mazingira yoyote yale mme akisha oa anatakiwa kuosha vyombo na nguo.....haitakiwi kabisa kama tunakuwa wakeli kabisa.....hakuna mwanamke anaye jitambua atakuwa nataka mme wake amekaa anafua au kuosha vyombo................lakini hii kama mwanamke anajitambua...ila kama ndo wale wengine utaona natetea mambo kama haya....
Mkiwa na kipato cha chini atakusaidia na bajeti mtapanga subiri apate hela ya maana.......
hii imekaa vema mkuu japokuwa binafsi huwa ni mvivu sana wa kufua na kuosha vyombo but huwa namsaidia waif kulea.mfano mtoto anapokuwa ameharibu mambo huwa nachukua jukumu la kumsafisha,huwa nambeba mgongoni kumbembeleza alale na usiku huwa naamka kumpa maziwa,kumbadilisha nepi etc.namwacha waif apumzike