Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
acha ujinga wewe, fanya kile kitu roho yako inakupa amani. hayo mengine waachie wanaoweza....Nikikaa bila kufanya mapenzi ninakua na amani na nguvu, nakua najisikia kabisa mwili una nguvu
Nasikia mwenzi wako hufanyi naye ngono ila unafanya naye mapenzi.Sijaelewa unaongelea mapenzi au ngono๐ค
Wewe umesikia wap ?Nasikia mwenzi wako hufanyi naye ngono ila unafanya naye mapenzi.
Kitaa,jf,n.kWewe umesikia wap ?
Jindae shule inakaribia, achana na mambo ya watu wazima๐Kitaa,jf,n.k
Mwalimu wa sayansi alituambia tuwaulize...tukirudi shule twende na majibu.Halafu kipindi chake cha kwanza kabisa jumatatu ๐คฃJindae shule inakaribia, achana na mambo ya watu wazima๐
๐Nini maana ya Mapenzi?! Usituchoshe
Hello sweetie..๐Sijaelewa unaongelea mapenzi au ngono๐ค
Hello darle ๐Hello sweetie..๐
Mapenzi yangu kwako yametaradadi kama upepo wa bahari kwenye fukwe mwanana tena usiochoka usiku na mchana..Hello darle ๐
๐คฃ๐๐kumekuchaMapenzi yangu kwako yametaradadi kama upepo wa bahari kwenye fukwe mwanana tena usiochoka usiku na mchana..
Nafasi yangu kwako naithamini kushinda thamani ya mthamini aliekosa wazamini..
Pendo langu kwako sikuchoki asilani nitalitangaza nchini mpaka mtaani..๐
Ha ha! Namakucha yake..๐๐คฃ๐๐kumekucha
Mimi mzima piaHa ha! Namakucha yake..๐
Mi mzima sijui wewe wa ubani..
Vyema.. nataka penzi nilikoleze mpaka mkolezo usipimike hata kwa vipimo vya korona!..Mimi mzima pia