Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,163
Walioana wakiwa wafanyakazi kazi wote wawili, walizaa watoto wawili. Baadae mwanaume aliondoka aliondoka nyumbani.. Yule mama alihangaika kulea watoto, si haba alifanikiwa kuwasomesha watoto na wakati huo Baba amepata binti mdogo anaishi nae.
Watoto walikua wakubwa na alimpata bwana mwingine alizaa nae watoto wawili wengine. Yule bwana alifariki. Katika mirathi kwakua mwanaume hakuwa na watoto wengine yule mama alikabidhiwa mali zote za marehemu, ikiwemo nyumba mbili, mashamba na guesthouse.
Yule mume wake wa ndoa ambae hawakuachana kwa talaka. Alipata matatizo ya kesi, aliuza mali zake zote ili apigane kesi yake. Alishindwa kesi na kufungwa miaka miwili jela. Alipotoka jela hana pa kuanzia yule mama alimkaribisha wayaanze.