Mapenzi ni kasheshe na raha pia

Mapenzi ni kasheshe na raha pia

Una maana gani mkuu?
Kama hivyo ye kakupotezea na wewe unapotezea .huoni kama mnashindana mkuu...kwa ufupi mmoja inabidi ajifanye fala asiwe na akili timamu..ila mwingine atambue kua mwenzake kajishusha asichukulie poa poa tu.hivyo yaan
 
Ni challenge sana mkuu
 
Back
Top Bottom