Mapenzi ni kama sumu kwa hivyo chaguo ni lako uamini kama inaua ama usiamini uonje ufe!ukiwa na mpenzi alafu usimwamini yaani kila mara unafikiria atakuwa anakusaliti hii ni zaidi ya presha soon tutapoteza nguvu ya Taifa!
Muamini hadi pale utapogundua sio mwaminifu