Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Mapenzi ni kama sumu kwa hivyo chaguo ni lako uamini kama inauwa ama usiamini uonje ufe!ukiwa na mpenzi alafu usimwamini yaani kila mara unafikiria atakuwa anakusaliti hii ni zaidi ya presha soon tutapoteza nguvu ya Taifa!
Muamini hadi pale utapogundua sio mwaminifu
Ila kuna mtu kaliwa hapa[emoji3][emoji3]
Sawa Mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushagongewa wewe, endelea kujifukiza tu.... Then zingatia ushauri wa wataalam
Pole mkuu hawa viumbe hawaeleweki
Ushagongewa wewe, endelea kujifukiza tu.... Then zingatia ushauri wa wataalam
Jamaa sajili zake za kumuumiza tu
hanaga furaha ya kudumu
Valentine imeisha sasa ni muda wa mirejesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha yanaenda kasi [emoji16][emoji16][emoji16]sana
Saa hii rayvanny anamuita harmonize babamkwe