waser New Member Joined Jul 8, 2026 Posts 4 Reaction score 4 Jul 11, 2026 #1 Mapenzi sio hisia iliyo dhahiri ni jambo la kufikirika ambalo binadamu anahisi kuna ukweli juu ya hisia hiyo lakini kumbe ni kama kijicho ama mazingaombwe na siyo hisia iliyo ktk uhalisia.
Mapenzi sio hisia iliyo dhahiri ni jambo la kufikirika ambalo binadamu anahisi kuna ukweli juu ya hisia hiyo lakini kumbe ni kama kijicho ama mazingaombwe na siyo hisia iliyo ktk uhalisia.