Mapenzi ni faraja/karaha kwako?

Mapenzi ni faraja/karaha kwako?

Yaani ulianza kuchakarika 2015 leo 2017 haijaisha lakini ulishapata demu, umeoa, hadi talaka ushatoa?
Inabidi umshukuru huyo mwanamke kwa kukufunza adabu.
hakika hata mimi nimeona ameenda speed sana. Hawa vijana wa siku hizi sio wa kisport sport kabisa.
Mwendo kasi kila kona
teh teh
 
kampany kivipi? jieleze vzr nielewe
unataka wa kupoza kwa kipindi hiki cha majonzi au unataka niunge mkono upande wa mkeo
teh teh
Yani niliamua kumuoa yule bint kutokana na utendaji wake wa kazi,
Nikajua akiwa mke itakua Mara 2 take

Kwasasa nipo kwenye kampeni kabambe ya kuwacharaza mashogazake wote ili hasira ipungue tena baadhi yap tayari, tena wakiwa geto wanamponda mwenzao ikiwa walishiriki kumdanganya
 
wewe ni mjinga ujue
sorry ila nimecheka sana walah
hebu ukumbuke kuwa kuna magonjwa maana kufa mapema sio kabisa bado tunakuhitaji
BTW ndoa hazijengwi namna hiyo, too much expectation ndizo zilikuletea balaa lote

teh teh mbavu zangu mie
 
Hasira za kunilostisha lazma niwacharaze shoga zake ili wakiwasiliana wapeane udaku vizuri.
Kwasasa maisha magumu ukifilisika lazima usugue benchi kwanza
 
hahahahahah angalia magonjwa mkuu na nguvu zako unazopoteza
mimi kamwe siwez fanya unayowaza
 
Dah mpaka nimesisimkwa mkuu, pole sana sana, ulikutana na pretender jamani poleee tena nothing to say, Mungu akusaidie
 
Pole sana Mpambanaji...!
Yote hayo pengine ni majaribu tu ya Mungu...

Hukugusia ushirika wako/wenu na Mungu..!

Vipi ulikuwa ni mtu unaekumbuka kutoa/kurudisha shukurani kwa Mungu...!?

Kitathimini ni wapi ulitereza, ili ikitokea nafasi nyingine uepuke anguko...
 
Kiukwel kabla ya ndoa sote tulikua watu wa ibada kiasi kwamba hata kuonja tunda haikuwezekana
Ghafla kwenye ndoa mwenzangu alibadilika mno ktabia na katka kipindi hicho nilikithiri sana kufanya ibada kwani ibada ndo ilikua faraja yangu pekee
Balaazaidi kwangu baada ya kutengana hapa ibada imekua ngumu mno
Situmii kilevi chochote mpaka nimeamua kuwapitia shogazake waliokua wakimdanganya
 
Umemkuta a na MWAMBA WA KASKAZINI..hakuna wanawake huko hadi uanzishe mahusiano na mfanyakazi wako..fresh
 
Back
Top Bottom