Mapenzi ndiyo yanayoongoza kwa kusababisha vifo Tanzania

medicine

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
216
137
Ni ukweli unaostua sana lakini hali halisi ndiyo hii ;kwamba ugonjwa unaoongoza kwa kusababisha vifo vingi zaidi ni HIV aids ambayo njia yake kuu ya maambukizi ni kwa njia ya kufanya mapenzi ,kwa utafiti uliofanywa na shirika la afya duniani WHO Tanzania ni nchi ya 14 kwa kuwa na wahanga wengi wa vifo vya HIV

TOP 20
1.HIV/AIDS
2. Influenza and
Pneumonia
3. Stroke
4. Coronary Heart Disease
5. Diarrhoeal diseases w
6. Diabetes Mellitus
7. Malaria
8. Prostate Cancer
9. Cervical Cancer
10. Malnutrition
11. Road Traffic Accidents
12. Suicide
13. Maternal Condition
14. Liver Disease
15. Endocrine Disorders
16. Kidney Disease
17. Hypertension
18. Other Injuries
19. Tuberculosis
20. Lung Disease

Chanzo
Life Expectancy in Tanzania
Du! tuna matatizo nchi hii
 
"Chanzo cha mabaya ni pesa na wasichana chunga sana alishasema Salu T. "-Ngosha Fid q.
 
Back
Top Bottom