stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,746
- 27,214
Jamani kwa wale wanywaji (pombe) ni wakati gani unapofanya yale mambo ya kikubwa unafanya kwa ufundi,ufasaha na kufurahia zaidi,ukiwa umepiga kinywaji kidogo au unapokuwa hujanywa kabisa,na ipi inapendeza zaidi mkiwa mmekunywa wote au mmoja tu amekunywa na kama wewe ni mnywaji unajisikiaje unapofanya mapenzi na mtu asie kunywa na kama sio mnywaji unajisikiaje kufanya mapenzi na mtu anaekunywa?Michango yenu wadau wa JF.:-*