Mapenzi na under 30 yamenifika haya

Mapenzi na under 30 yamenifika haya

Wewe Jamaa muongo, mbona hao kuku wanaonekana ni wa kitambo sana hapo hadi mazingira yameyazoea.
 
Kwanini unadanganya? Umesema amekuletea majogoo wanne na majike wanne. wakati hapo juu unatuonesha picha ya majogoo saba, Hii hadithi yako ni ya kutunga tu.
 
Hilo Banda la kuku wako mbona chafu sana mkuu?
 
Kama humtaki nipe namba yake aiseee, huyo ni wife 'matirio'..

Kumpata mwanamke mwenye akili kama zake ni nadra sana hasi hichi kizazi cha Braziliani hair..!!!
Hahahahah
 
Unataka uambiwe oa, acha ukolo! Chinja kuku tuje kula supu kwanza...
 
Mkuu me naona wewe ndo hujitambui....huyo dada tafuta kopa hata mahari uoe.....ni nadra sana kupata mwanamke anayeendeleza ndoto zako.....unakula bure ..unafuliwa nguo na bado unaletewa mtaji.....my kaka please hebu jitambue kiasi...upendwe kiasi gani? Hayo mengine atakuwa tu....hata wewe uliwahi kuwa mtoto...muhimu uendelee kumcoach kuwa mtu unayemtaka....serious ukichezea hiyo nafasi basi utaitafuta sana huko mbele coz huyo dada akipata mwanaume mwenye akili zake anaoa mazima na hutokaa umpate tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kitu ambacho sikutarajia kingetokea..!

Baada ya kuvutiwa nae, na kufanya juu chini, kupata namba yake ya Simu, nilijaribu kufunguka kwa binti huyu, na (sijui Mungu au Shetani) kwa bahati nzuri nae akaelewa somo.

Tuna mawasiliano na mahusiano mazuri tu, imefikia vijana na wazee mtaani kwangu, KUNG'AMUA kinacho endelea kati yetu.

Vituko, na hiki ndicho chanzo cha kuleta Uzi huu (pengine) kwa ushauri...!

Binti kachanganyikiwa na mimi, sijui sababu, kwani ni bora ningemkuta bado ana USICHANA wake...ningesema ni mgeni wa mapenzi.

Nilikuwa na ratiba/order ya kula chakula kwa Mama nitilie, binti kaniambia nisihangaike, chakula anatoka nacho kwao...!!

Binti apungui gheto, akijua nimerudi tu kutoka katika Mishe zangu za daily....atabeba Nguo chafu na kwenda Nyumbani kwao kuzipiga SOAP...!

Kibweka kikubwa ni hiki sasa...! baada ya kubaini kuwa napendelea swala la ufugaji, najihusisha na mifugo kama Njiwa, Sungura, Bata pamoja na Kuku.

Leo hii narudi home, nimekuta ameniletea Kuku wa kienyeji wapatao 10 (kumi)

Kweli nilifurahia sana, mshangao ulikuja baadae, baada ya kugundua ameniletea MAJIKE 5 na JOGOO 5.

Nilipo mueleza umuhimu katika kuchagua kwake, angeniletea Majike angalau 8 na Madume mawili tu (nadhani kwa wafugaji wataelewa mantiki)

Kwa jibu rahisi alinijibu, "SASA HAWA WENGINE WATAPENDWA NA NANI.."?

Akimaanisha hakuna uwiano wa Majike wanne kwa Dume moja...!!

Nilimcheka...amenichukia mpaka muda huu...!!

Naombeni ushauri, nimpe somo gani..?
1b19bdab9e83793af24ea970c117a5ab.jpg


Nipo nashuhudia tu vita na ugomvi wa MAJOGOO....
Wewe kijana mwongo, mbona hapo naona majogoo saba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una bahat sana wengine hapa tupo safarin kuelekea zimbabwe labda tutapata kama wako@
 
Hajui hao ni wanyama na wanyama wana tofauti na binadamu?

Mantiki yake ya "hao watapendwa na nani" ni ya binadamu tena binadamu asyejua hata kupenda ni nini,hana sababu ya kuipeleka kwa wanyama kwasababu wanyama "hawapendani" na hawafanyi ngono kwaajili ya starehe bali kwaajili ya kuzaana na ndiyo maana jogoo mmoja anakuwa na majike manne....

Iko hivyo kwasababu kuku hapandwi kila wakati kama sisi tunavyogonoka mara nyingi hadi kulazimisha kwenye siku za period kwasababu tunachukulia ngono kama starehe wakati hao ni kinyume kabisa.....

Kufikiria wanyama wanachukulia ngono kama sisi ni kosa ambalo huyo binti amelifanya....
HahahahahA,,eti mpaka tunalazimisha siku as period!!!yaaani jamani wanaume tu watu wa ajabu wake zetu wanatuvumilia sana siku wakiamua kutuanika hadharani tutaaibika sana!!Nyege ni mbaya sana,umenikumbusha mpk nimejisikia vibaya!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona pichani majogoo yapo 7

...And I can’t quit...
 
Back
Top Bottom