Mapenzi na under 30 yamenifika haya

Mapenzi na under 30 yamenifika haya

Aisee umepata wife material watu mnabahati sana
Nimegundua kitu Mkuu.

Mwanamke yoyote (asilimia kubwa) atakuja kuendeleza tabia/yale anayo kuta kwako...

The better you Smart, the best she react..

Nimekuwa mwepesi sana kwenda nae sambamba, vipo vitabia tumefanana..

Tofauti na mikwaruzano katika mahusiano mengi, yanasababishwa na kutofautiana tabia/mitazamo.
 
Hajui hao ni wanyama na wanyama wana tofauti na binadamu?

Mantiki yake ya "hao watapendwa na nani" ni ya binadamu tena binadamu asyejua hata kupenda ni nini,hana sababu ya kuipeleka kwa wanyama kwasababu wanyama "hawapendani" na hawafanyi ngono kwaajili ya starehe bali kwaajili ya kuzaana na ndiyo maana jogoo mmoja anakuwa na majike manne....

Iko hivyo kwasababu kuku hapandwi kila wakati kama sisi tunavyogonoka mara nyingi hadi kulazimisha kwenye siku za period kwasababu tunachukulia ngono kama starehe wakati hao ni kinyume kabisa.....

Kufikiria wanyama wanachukulia ngono kama sisi ni kosa ambalo huyo binti amelifanya....
Ooh!!tabia za wanyama wengine hazitofautiani na za binadamu!All male creatures are polygamist!!!
 
kwa jambo hilo tu ndio limekufanya umuone wa hovyo?
umesahau unakula chakula chao,
anafua nguo zako,
anakuja gheto kwako daily,
kakuletea mpk na mifugo ila ulivyo huna kaba mpk umemfungulia uzi, lol,

Nipe namba yake niongee nae huenda akanisikiliza.
 
***** Hayo Majogoo Angekuta Limebaki Moja Tu. Hao Wasenge Usipowala Au Kuwauza Kuna Atakaeenda Kufuata Papuchi Atapotelea Hukohuko,Kuna Watakaodundwa Na Mbabe Wakimbie Kipondo Wasirudi. Chagua Mbabe Abakie Apande Majike Wote. Ila Hapo Ni Mwendo Wa "DONT MESS WITH MY BITCH,I WILL KILL EVERYONE HERE"
Uyo Dada

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
kwa jambo hilo tu ndio limekufanya umuone wa hovyo?
umesahau unakula chakula chao,
anafua nguo zako,
anakuja gheto kwako daily,
kakuletea mpk na mifugo ila ulivyo huna kaba mpk umemfungulia uzi, lol,

Nipe namba yake niongee nae huenda akanisikiliza.
Ushauri/maelekezo mliyo nipatia, imebidi nimuoneshe POST zenu Wadau, na hiyo kidogo ndio imemfanya alegee.

Tunakwenda kurudisha baadhi kesho, na habari njema, ni kuwa ameuziwa bei moja.
 
Back
Top Bottom