KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,130
- 40,875
Dah...Mkuu anataka uhakika...just in case jamaa aki rip aweze kurithiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41][emoji2960]Mke wa Makonda kaolewa na Makonda ambaye ni mtoto wa pekee,dada olewa tu mengine mtajua mbeleni
mkuu chomoka nacho,lala nacho mbele (kwa sauti ya mwanri)
hahahahaπ€£ unajua hayo mambo ya kurithi mke sijawahi kuyashuhudia kabisa mkuu,hivi yapi au ni stori tuDah...Mkuu anataka uhakika...just in case jamaa aki rip aweze kurithiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41][emoji2960]
Sent using Beretta ARX160
Inanipa shida nina miaka 26, mwanaume anayenipenda ana 24. Hii ya mara tatu sasa namkatalia lakini hachoki anaonesha malengo na mimi anasema umri sio tatizo ila kimaumbile yeye mwanaume ana mwili mkubwa, nikisimama naye mkubwa yeye kingine nina hofu na familia yake wako wawili tu.
Napenda mwaname ambaye kwao wawe hata kuanzia watatu nakuendelea hata kama watakuwa hawana kazi najua watakuwa na mchango mkubwa sana katika shida mbalimbali ushauri wenu
Nilishamwambia hatu match hasa kwenye swala la umri nilishafuta hadi no yake jana kanitafuta tena akisisitiza kuwa ananipenda sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inanipa shida nina miaka 26, mwanaume anayenipenda ana 24. Hii ya mara tatu sasa namkatalia lakini hachoki anaonesha malengo na mimi anasema umri sio tatizo ila kimaumbile yeye mwanaume ana mwili mkubwa, nikisimama naye mkubwa yeye kingine nina hofu na familia yake wako wawili tu.
Napenda mwaname ambaye kwao wawe hata kuanzia watatu nakuendelea hata kama watakuwa hawana kazi najua watakuwa na mchango mkubwa sana katika shida mbalimbali ushauri wenu
Ndo shida yao hiyo hawa viumbe..wanaanza kw kuringa weeee..baadae wananza kusumbua watu na stress zaoUkienda kuzingatia hivo vigezo
Vyako utazeekea kwa babaako
Ww sema tu hujampenda
Na huwez kumpenda
Ungekua umempenda nadhan
Tungekua tunaongea mengine mda huu
stidy
Me 26, Ke 34 na wanategemea mtoto.
Acheni upuuzi wa kusema tofauti ya umri ina matter zaidi. Mkielewana hakuna wa kuwazingua
Sent using Jamii Forums mobile app