Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Ni bora wao kuliko kujiingiza kwenye apenzi na mtu akamuumiza, hii nahisi hapa kwetu bado sana
Ni bora wao kuliko kujiingiza kwenye apenzi na mtu akamuumiza, hii nahisi hapa kwetu bado sana
Changamoto zake ni pamoja na:-
a) Khofu ya kugundulika na mpenzi wake.........
b)Kukosekana na msisimko unaoletwa na kujaamiana na jinsia nyingine.....................kama Muumba alivyokusudia..........
c) kupoteza nafasi ya kujiendeleza katika kujenga mahusiano na jinsia nyingine kutokana na kuona hakuna umuhimu wa kufanya hivyo...........
d) kuonyesha anti-social behaviour kwa jamii............
kuingia kwenye mapenzi na mtu akakuumiza ni matokeo tu best...omba upate atakaekujali...mwisho wa siku plastiki si mpango wa Mungu.
Ina kuwaje kama mume kazama kwa nyumba ndogo na mwanamke anakuwa na hamu, hapati tendo miezi hat sita, na huyu mwanamke anaogopa kuwa na mahusiano na mtu mwingine, akinunua doli hilo atakuwa kafanya makosa?kuingia kwenye mapenzi na mtu akakuumiza ni matokeo tu best...omba upate atakaekujali...mwisho wa siku plastiki si mpango wa Mungu.
Hata wanaume ni wateja wakubwa
(Labda sio sana hapa Africa )
Bora hata wanawake ni dildo, vibrators etc
Wanaume ni midoli haswa yenye vichwa na
... mmmhh
Ina kuwaje kama mume kazama kwa nyumba ndogo na mwanamke anakuwa na hamu, hapati tendo miezi hat sita, na huyu mwanamke anaogopa kuwa na mahusiano na mtu mwingine, akinunua doli hilo atakuwa kafanya makosa?
Wakwepaji wa mapenzi ya asili ya bwana na bibi siku hizi hujikita kwenye kufanya mapenzi na plastiki (dildo).......................exciting plastic man................baadhi ya watetezi wa mahaba haya yasiyo ya asili huwa wanajikita kwenye hoja zifuatazo:-
a) mwanaumme wangu haniridhishi na siwezi kumweleza kwa hiyo kuliko kuzini nimeona afadhali nitafute penzi la plastiki..........
b)Penzi na plastiki linanithibitishia ya kuwa hata mimi naweza kujitegemea na kuacha kutegemea wanaumme na machachari yao rundo..........
c) Penzi la plastiki linaniletea uhuru zaidi wa kujamiana wakati niutakao na bila ya zengwe lolote lile na kunifanya nijione ni mtu muhimu sana.........
d) Hakuna madhara yoyote hasa ya HIV na STD....................
e)Ni hatua ya kujikomboa kwa mwanamke kutoka kwenye minyororo ya ukandamizaji wa mwanaumme.....................ni ushindi dhidi ya mfumo dume..........................................
SOURCE: hii ni kulingana na makala moja katika gazeti la the Standard la Kenya...................
Wateja wengi wa penzi la plastiki ni wanawake wasomi ambao hujikita vilevile katika mapenzi ya jinsia moja .................................nionavyo.........
Kuna wanaume huwa wanapata matatizo ya kiafya, wengine ajali wanavunjika viuno, wengine kisukari kikali sana..wanakuwa hawawezi na wananunua hayo mavitu wenyewe kuwaridhisha wake zao, tunawasikia hata kwenye mablog wakiomba ushauri na hawa utawajaji vipi?Ninaafiki na hoja hii........................
Kuna wanaume huwa wanapata matatizo ya kiafya, wengine ajali wanavunjika viuno, wengine kisukari kikali sana..wanakuwa hawawezi na wananunua hayo mavitu wenyewe kuwaridhisha wake zao, tunawasikia hata kwenye mablog wakiomba ushauri na hawa utawajaji vipi?
Men aside, what do experts say about the use of these sex toys?
Psychologist Dr Chris Hart says he has no issue with women using these gadgets.
"Let's be frank, men are allowed to masturbate and when women give themselves pleasure it's considered a bad thing. Why the double standards?"
Hart admits that a significant number of the women who come to see him complain that theirmen are not satisfying them in bed and that's why they are seeking other alternatives.
He says: "Most men do not know how to please their women. They have no idea where to touch, where to hold and so on. The men assume they are satisfying their women, yet they are not."
I do not have a problem with women using a vibrator because research shows that 70-80 per cent of women do not reach orgasm through penetrative sex and that is why they resort to sex toys," says Hart.
Mmmhhhhhbulanketi chapamtu halina ushindani.................ni vyema nikatoboa............................
Ina kuwaje kama mume kazama kwa nyumba ndogo na mwanamke anakuwa na hamu, hapati tendo miezi hat sita, na huyu mwanamke anaogopa kuwa na mahusiano na mtu mwingine, akinunua doli hilo atakuwa kafanya makosa?
Ina kuwaje kama mume kazama kwa nyumba ndogo na mwanamke anakuwa na hamu, hapati tendo miezi hat sita, na huyu mwanamke anaogopa kuwa na mahusiano na mtu mwingine, akinunua doli hilo atakuwa kafanya makosa?
Waache wajikomboe...kwani tatizo liko wapi?!Kwanini starehe ya mwenzio uiongelee kama kero kwako?!walio wengi ni katika mapambano na jinsia ya kiume..............................wanadai wanapambana na mfume dume kandamizi..................lol.......................
yah kwa mwanamke mwelewa atamuelewa mumewe hasa kwa kuzingatia kabla ya hayo matatizo alikuwa mzima akimpa dozi kama kawaida
ni ngumu sana kuhukumu moja kwa moja kwani hujui kilichompelekea mtu kuwa na mdoli japo nafasi ya mwanaume kwenye maisha ya mwanamke itabaki pale pale hata kama mdoli unatumika.