Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

Wanaume km nyie huwa ni machoko, mwana anatunza wewe unajikuta loverboy,watu km nyie ni kuwaharibu utumbo mpana tu,haya tupe matokeo huyo demu mlifika wapi?
[emoji23][emoji23]
 
Mkuu hii ripoti Fanya kunitumia katika ukamilifu wake. Bonge la story.
 
Mkuu malizia basi
 
Mkuu Nimepanga karibia na chuo, kila nikiwa narudi ghetto nasikia makelele tu dirishani ya watu wanapeana dozi.
 
Nilikuwa gangsta ,mgumu sicheki na Raia

Kuna manzi aliwahi jipitisha nikamkaushia

Baada ya kuingia kitaa ndio najiona fala farasi kweli kweli

Kitaa walinikomaa nilichakata tatizo mijimama hupata vile vipusa vingw'asu vyenye harufu za kisekondari.

Siku nimestaff sinaga sana mizuka ya kufukuzia mademu.

Napambana na uchumi wangu

Kila zama na wakati wake
 
Kwaiyo mkuu chuoni ukuwahi kabisa kuwa n mahusiano ya kimapenzi
 
Sisi miaka yetu uko 2009-2012 tuliogopeshwa ,kuhusiana na watoto wa mama salma (mama kikwete ) kwamba wako na vvu ...ilikuwa hatar mno
 
Sema vibinti vya chuo havina subira unakiaproach Leo kesho kinakwambia mtungi wake wa gesi umeisha[emoji848][emoji3061][emoji856][emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…