Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

Ila chuo mademu wanaliwa aise yanii hata awe mgumu vp chuo haponi!!!mimi nilikuwa na dili na certificate na first year tani yangu

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app

[emoji23]ukiwa na akili hiyo kwa kila demu utaumbuka,kuna jamaa alipigwa kofi na demu darasani watu walicheka sana,msela alimfata demu darasani wapo watu kibao si akaanza kumshika shika,manzi akampiga banzi afu akasema β€œniacheee”
 
Mimi natumia ushawishi ,huyo alikuwa ana force na kubala jinga kabisa

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mahusiano yanayoendeleaga,,,baada ya chuo Kwisha Mambo ua Ni mabala the farmer na hawa the bus driver[emoji23]
 
Wanaume km nyie huwa ni machoko, mwana anatunza wewe unajikuta loverboy,watu km nyie ni kuwaharibu utumbo mpana tu,haya tupe matokeo huyo demu mlifika wapi?
 
Binti atafuata nyayo uliyoanzisha.
 
Taratibu...mzazi mwenzio huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…