Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

Sio uzembe kaka...huko ndio kuishi kaka chuo unatakiwa uburudike na maburudani bwana huku kitabu kinapanda.

Mie mpaka leo mawindo ni maeneo ya vyuo tuu...namba mpya mpya tuu.
Mkuu Uko mkoa gani ivi saivi na mawindo yako. Sema muda huu umri umesogea nakomaa kwa future nzuri ya wanangu. Ningekutafuta pia kosa jingine nishaoa LA sivyo ningekutafuta. Binafsi chuo Nakumbuka nimefungua chupi zaidi ya 40+ afu peku peku sema ni bao LA kwanza tu LA pili natumia mpira. Mkuu ila big up sana binafsi nimeinjoi life LA chuo.
Nilikataa sana yaani nimepiga puli miaka sita yote ni boarding afu boys tupu na chuoni tena nipige puli nikakataa nikasema acha nisiunyime moyo.
Yaani chuoni kuna mtoto unakutana unajiuliza hivi huyu huwa anatoaga mavi kama ya kwangu.

Mpaka kumpatia Gari mpatia na nyumbani kama una uwezo na unaona tu sawa.

Yaani nilifika chuo ni full pamba na kupendeza sema MIE sio MTU wa unyunyu wala mafuta ama losheni yaani ni kuoga na pamba zinanikaa na urefu wangu na miwili uliojengeka. Nikikutana na mtoto hasumbui kuitoa namba.
Hii ni kwa Tanzania tu.
Bado nilivyokuwa rashia.

Binafsi hakuna muda ambao nimeenjoi life kama nikiwa chuo LA bata.
 

Safi mkuu...huo ndio muda wakuenjoy sana...sometimes nawaza sijui nikajiandikishe kozi yoyote tuu pale chuo niwe nazugazuga tuu huku naenjoy maburudani ya pale🤣🤣🤣🤣🤣
 
Safi mkuu...huo ndio muda wakuenjoy sana...sometimes nawaza sijui nikajiandikishe kozi yoyote tuu pale chuo niwe nazugazuga tuu huku naenjoy maburudani ya pale[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Khaaaaaah makubwa haya lol
 
Mimi sikuwa na mahusiano na wanachuo ila walikuwepo mademu wawili niliowaacha O level wakaja mjini so nikawa nawapangia ratiba tu

Ila sitasahau jamaa yangu mmoja alikua anamla mke wa mtu kisa course za linguistics noma sana. Alimtafuna anavyotaka
 
Safi mkuu...huo ndio muda wakuenjoy sana...sometimes nawaza sijui nikajiandikishe kozi yoyote tuu pale chuo niwe nazugazuga tuu huku naenjoy maburudani ya pale🤣🤣🤣🤣🤣
Ukiwa hakuna LA kufanya ama umeshapatia mirija ya pesa inaingia hata ukiwa umelala kama anayemiliki program ya ubber, mpesa ama formula ya koka mkuu. Yeye ni kulala tu ila Hela inasoma mkuu
 
Mapenzi ya chuo umarekani mwingi mi nmesoma udom skuwahi kutongoza mwanachuo mwenzangu nilikuwa na demu mtaani saiv ckumbuki alipo
 
Bia what?... [emoji1787][emoji1787] Labda azaliwe Mara ya pili...hamna kituuuj...likaka nalizidi kila kitu linajua kuvaa nguo za vitambaa na tai za pundamilia tu[emoji57][emoji57].. boom langu[emoji1787][emoji1787]

Eti tai ya pundamilia [emoji3070]... [emoji16][emoji16]
 
Mimi sikuwa na mahusiano na wanachuo ila walikuwepo mademu wawili niliowaacha O level wakaja mjini so nikawa nawapangia ratiba tu

Ila sitasahau jamaa yangu mmoja alikua anamla mke wa mtu kisa course za linguistics noma sana. Alimtafuna anavyotaka
Hii course nimeiona hapa moyo ukafanya paaaaaaaa [emoji17][emoji17][emoji17]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…