Unamtokea wa nini kama umeona ni shimo la choo?. Unafikiri kuna wa kukupunguzia minyege yako bure hapo?. Kapige nyeto kama unataka bure
Mmmh...! Umesahau?. Sasa nitakukumbushaje? Hapa hapa au nikukumbusheje?Ipi hiyo?
Ukiwa unapima hivyo utaishia kulalamika kama jamaa hapa ,wanawake wanahuruma sana ukijua ilo basi
Hizo comments za mwanzo sipingi lakini inategemea huyo binti kakupendea nini. Kuna uwezekano anataka uwe mwezeshaji wake hivo akakutupia mtihani huo kwanza. Hili sio tatizo kwangu kwani akipenda kula akubali kuliwa. Shida ilinitokea mmoja huyo anasali kwa Gwajima 3times @week nikataka kumeet nae eti hana viatu,suruali zao zile na hajasuka. Hapo visenti vya kula nilikuwa nampa, nikaamua tu kumwambia mwenyewe nina hamu sana hivo njoo tuexchange. Akaishia kusema mimi siko hivo, nilijua unaniita tupange maendeleo kumbe unataka tufanye na ndo kwanza hatujazoeana. Kilichofata block, sijawahi kumpenda binti kilaza hata mara moja
Pole mkuu,Ngoja nikupe plan kijana,
First hakikisha unaomba out before kutongoza, na akiomba pesa before muda wa kwenda out unamwambia, nitakupa muda tuliopanga kuonana.
Akija unapiga verse demu anakubali, unampiga kiss kali kabisa la kizungu, demu anakua wako.
Nauhakika 100 percent mwanamke kutoa lips denda kwa mwanaume asie mpenda ni ngumu sana,
Akikataa kupigwa kiss na hela hapewi.
Masharti ni madogo tu before nikupe pesa yangu unipe kiss kwanza.
Maana kama ni kunipima mm upendo hata mm nina haki ya kukupima upendo, je ukija kunibwa kwan mm sita umia, kwann ilalie upande wao tu, kuwa sikuamin kama unanipenda.
Ulikosea kuto mpatia pesa ya chakula , ulitakiwa mtumia ata ulicho nacho ungeona majibu ya swali lako .siku nyingine usiwe na mkono mfupi saidia mtu tuu then subiri malipo
Kitendo cha kuwa ke kwa baadhi ya ke ni tiketi ya kuwa tegemezi.WanaJF,
Siyo siri leo nimestaajabu mapya kabisa katika mapenzi. Ilikuwa hivi:
Kuna 'pisi' moja niliitongoza ikanambia itanijibu nivumilie. Sasa kuna siku aliniambia hana pesa ya msosi, mimi nikakaza nikajisemea siwezi kubeba mzigo usionihusum, nikamkwepa kijanja hapo.
Movie inaanza, jana usiku namwambia nipe jibu basi, akaanza maneno meng oohh mimi nina mtu ananipenda ambaye yeye ananijali, ambae haruhusu mimi nishinde njaa, nampenda sana; lakini wewe hunipendi ndiyo maana uliniacha nishinde njaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaanisiyo siri nimecheka sana na hawa viumbe wa leo.
Sasa nikajiuliza mimi nimekosea wap hapo mpaka sasa, sina jibu aisee. Wana mnipe somo nilikosea wapi.
Ngoja nikupe plan kijana,
First hakikisha unaomba out before kutongoza, na akiomba pesa before muda wa kwenda out unamwambia, nitakupa muda tuliopanga kuonana.
Akija unapiga verse demu anakubali, unampiga kiss kali kabisa la kizungu, demu anakua wako.
Nauhakika 100 percent mwanamke kutoa lips denda kwa mwanaume asie mpenda ni ngumu sana,
Akikataa kupigwa kiss na hela hapewi.
Masharti ni madogo tu before nikupe pesa yangu unipe kiss kwanza.
Maana kama ni kunipima mm upendo hata mm nina haki ya kukupima upendo, je ukija kunibwa kwan mm sita umia, kwann ilalie upande wao tu, kuwa sikuamin kama unanipenda.
NikumbusheMmmh...! Umesahau?. Sasa nitakukumbushaje? Hapa hapa au nikukumbusheje?