Mapenzi na kazi vina uhusiano gani?

Mapenzi na kazi vina uhusiano gani?

Ahil

Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
38
Reaction score
12
Wanawake wa kiswahili bana mtu hata hamjajuana baada salamu swali la 2 unafanya kazi gani au unajishughulisha na nini? Hivi vitakusaidia nini ukijua au ndio tamaa au kujiuza dada zetu mtashindwa kuendelea kwa hali hio hatari hakuna mtu asiekujua akamwambia kazi yake bana acheni ujinga.
 
Watu wasio na pesa utawajua tu.
Kila kitu ni lawama tu.
Vizuri vina gharama mkuu.
Wewe saka pesa utavipata tu
 
Watu wasio na pesa utawajua tu.
Kila kitu ni lawama tu.
Vizuri vina gharama mkuu.
Wewe saka pesa utavipata tu

Unaonekana na wew ni mmoja wa hao wenye tabia hizo, skuja hapa kugawa pesa au kuonekana nina pesa acha ufala wew
Kumbe kuna ugomvi humu....[emoji15] [emoji15]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Wanawake wa kiswahili bhn mtu ata hamjajuana baada salamu swali la 2 unafanya kazi gani au unajishughulisha na nini? Hivi vjtakusaidia nn ukijua au ndio tamaa au kujiuza dada zetu mtashindwa kuendelea kwa hali hio hatarii hakuna mtu asiekujua akamwambia kazi yake bhn acheni ujinga
Ukikosa kazi/hela na nguvu za kiume zimepungua
 
anakuuliza kazi ili apange aina ya vizinga vya kukupiga
usidanganye kazi kubwa mizinga itakuoversize
Vizinga havipingiki kwa hali ya sas ila dah hii tabia yao noma sana km corner bar
 
Nilipata mmoja humu akaniuliza kazi yako,nikamjibu nauza mihogo ya kukaanga kwa wanafunzi wa shule nikaona katoka nduki 🙄 🙄 🙄 😛 😛
lazima atoke nduki keshaeka uhakika wakula chips nyani wew unamtajia mihogo
 
Anauliza kazi ili awe na uhakika wa kwenda saloon kila week na shopping ya mara kwa mara
Basi awe na kazi na yeye kwnza mengne tutasaidiana tukijuana na panapo lazimika unapotamani lazima nawe uwenacho si utolee macho cha mwengne
 
Back
Top Bottom