hukua una mjali ndo maana akatoa we ulitaka azae nam2 av mtoto akikua utamuacha? Kapata wakumuoa ndo maana akatoa! We hujui mwanamke akisikia, ndoa analianni? We unataka kuchemzea aangaike naww,
Msichana wangu katoa mimba yangu ili aolewe na mtu mwingine aliyekubaliana naye.Nasikitika sana kwani nakumbuka binti aliambiwa na Daktari kua hawezi kushika mimba halafu kapata katoa.Na sasa hatuna uhusiano tena.