Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,685
- 6,760
Fanya yako Bob. shame on yourself jobless sucker[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nmekuwa mfuatiliaji wa kawaida tu wa vipindi vinavyorushwa na clouds tv na clouds fm.
imekua kawaida yao kila wanalolileta huchukua muda mfupi kukubalika na kucapture attention kubwa toka kwa vijana na jamii kwa ujumla kama vile kipepeo, malkia wa nguvu nk
Lakini kwa muono wangu tofauti naona hii ya mapenzi mubashara imebuma japo wanajaribu kutumia nguvu kubwa kuipush lakini kiukweli haina mvuto!
Halafu sioni umuhimu wake kwa kizazi hiki kinachotakiwa kufikiria maendeleo kufikia tanzania ya viwanda na uchumi wa kati,
clouds mbadilike kwa kweli kwani jamii inamambo mengi ya kushupalia na kujadili kwa kina kuliko hiyo mapenzi mubashara,
pia inaongeza amasa kwa vijana na watoto wadogo kuanza kujihusisha na masuala haya hatari kwa ustawi wa taifa!
Shame on you clouds
Mkuu valentine ni siku moja tu tareh 14!WAJANJA WALE WANAJUA TU VALENTINE IMEKARIBIA
Kwani wamaanisha ngono mpk uwaingize watoto? Mm nilielewa ni mapenzi kwa kila mtu mapenzi live kwa mama,mapenzi mubashara kwa baba,ndugu,majirani na hata Taifa lako,majirani na wengineo,mm nimeelewa hivyo!!! Ama kweli akili ni nywele naona zangu ni kipilipiliNmekuwa mfuatiliaji wa kawaida tu wa vipindi vinavyorushwa na clouds tv na clouds fm.
imekua kawaida yao kila wanalolileta huchukua muda mfupi kukubalika na kucapture attention kubwa toka kwa vijana na jamii kwa ujumla kama vile kipepeo, malkia wa nguvu nk
Lakini kwa muono wangu tofauti naona hii ya mapenzi mubashara imebuma japo wanajaribu kutumia nguvu kubwa kuipush lakini kiukweli haina mvuto!
Halafu sioni umuhimu wake kwa kizazi hiki kinachotakiwa kufikiria maendeleo kufikia tanzania ya viwanda na uchumi wa kati,
clouds mbadilike kwa kweli kwani jamii inamambo mengi ya kushupalia na kujadili kwa kina kuliko hiyo mapenzi mubashara,
pia inaongeza amasa kwa vijana na watoto wadogo kuanza kujihusisha na masuala haya hatari kwa ustawi wa taifa!
Shame on you clouds
Unaweza kuwa na mawazo yako pia!Fanya yako Bob. shame on yourself jobless sucker[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Why broke ppl so negative always.???
Ni kweli mkuuKwani wamaanisha ngono mpk uwaingize watoto? Mm nilielewa ni mapenzi kwa kila mtu mapenzi live kwa mama,mapenzi mubashara kwa baba,ndugu,majirani na hata Taifa lako,majirani na wengineo,mm nimeelewa hivyo!!! Ama kweli akili ni nywele naona zangu ni kipilipili
Kuna vimatangazo huwa vinawekwa dizain ya maigizo mwanaume na mwanamke vinaviashiria vya ngono sijui km ushawah yasikia..mara mwanamke anamwambia bwana njoo nikubebe nikuigeshe blablabla...zaid ya mojaKwani wamaanisha ngono mpk uwaingize watoto? Mm nilielewa ni mapenzi kwa kila mtu mapenzi live kwa mama,mapenzi mubashara kwa baba,ndugu,majirani na hata Taifa lako,majirani na wengineo,mm nimeelewa hivyo!!! Ama kweli akili ni nywele naona zangu ni kipilipili
Kwa hiyo tatizo ni nyimbo siyo maneno MAPENZI MUBASHARA!!! kwani nyimbo hizo hizo ndo zinazopigwa na kwenye vipindi vingine mkuu!!Ni kweli mkuu
Ila kwa jinsi matangazo yao yalivyo yanachagizwa nyimbo za mapenzi ambazo ujumbe wao moja kwa moja ni mapenzi hayo unayoyauliza(ngono)
Kwa hiyo tatizo ni nyimbo siyo maneno MAPENZI MUBASHARA!!! kwani nyimbo hizo hizo ndo zinazopigwa na kwenye vipindi vingine mkuu!!
Fanya yako Bob. shame on yourself jobless sucker[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Why broke ppl so negative always.???
Ni upotoshwaji tu wa kiswahili...Hivi Mubashara si ni Live au moja kwa moja? Ni kwa namna gani mapenzi yanaweza kuwa mubashara? napata shida na hiki kiswahili kwa kweli...Why wasiseme '' MAPENZI MOTO MOTO''?