Mapenzi matamu sana

Khaaaaa.....Sasa Ulipofanya yote hayo ulijionea fahari au ilikuwaje mkuu@Ayusema
 
So wewe unachukulia wanawake wapo for pleasure.... hakika yanatimia yale ya kwenye Kitabu kitakatifu "Mwanamke utakuwa na tamaa juu ya Mwanaume"
 
Khaaaaa.....Sasa Ulipofanya yote hayo ulijionea fahari au ilikuwaje mkuu@Ayusema

sio fahari angalizo kwa wapenda vya watu.... nilikuwa na prove kuwa hivi vitu vipo as mwizi akiibiwa huwa analia sana tian
 
Last edited by a moderator:
Khaaaaa.....Sasa Ulipofanya yote hayo ulijionea fahari au ilikuwaje mkuu@Ayusema

sio fahari ila ni angalizo kwa wapenda vya watu.... nilikuwa na prove kuwa hivi vitu vipo as mwizi akiibiwa huwa analia sana tian
 
Last edited by a moderator:
Apply na newton's first law of motion as qnsqnses za michezo hiyo michafu!
 
Yakuiba mabaya sana ni vizur ukawa na mmoja huyo wala humshikii manati
 

Mtandao utakuua....acha kuishi ghetto, tafuta nyumba nzima ukae. maisha ya getho ni balaaa...kwiwkwiwiwiwi
 
No comment!!!
 
Urafiki wa jinsi hiyo bora kuwa bila rafiki.
 
Kichwa cha habari kingetakiwa kuwa "Mapenzi ni kama Newton Third Law of Motion"
 
Peleka kijiweni bruhh this sounds childish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…