Mapenzi matamu lakini chanzo cha laana

Mapenzi matamu lakini chanzo cha laana

Ngurubhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
1,840
Reaction score
1,049
Tangu nimekuwa nimeona mengi na kujifunza yaliyo mema na mabaya.lakini swala la mapenzi limekuwa likinitatIza sana kwani ni hali ambayo haina tafsiri sahihi.

Watu wamekuwa wanagombana,wanajeruhiana,wanadharirishana,wanakashifiana lakini mwisho wa siku usistaajabu ukikuta wamekaa ufukweni yao mate wanarambana wamesahau yote ya nyuma,mapenzi bwana uhhmm.

Wengine,wamewakana,wamewaua,na hata kuwakimbia,wazazi,na watoto wao kisa mapenzi,kama si laana hapa nini.

Wengine wamebadili maumbile rangi,dini,wengine hata kudanganya umri,jina,kazi,makazi,kabila,nk ili tu wapate penzi kwa walio wapenda,hii yote si laana jamani.

Wengine wamethubutu kuiga miondoko,mavazi,style za maisha nk ili tu waonekane kama wanavyo dhani wakifanya kuna watu watawapenda...hakika mapenzi mimi nadhani ni chanzo cha laana zote dunian.

Kwani mwisho wa siku laana hizo zikianza kuishi zimekuwa zikiwasababishia,watu kufukuzwa kazi,makazi,kuwekwa hatiani na mbaya zaidi ni pale laana hasa kama nyota yako ni mbaya.

Na hio nyota yako ikakukutanisha na mtu ambaye ni mwathirika wa vvu na kwa uzembe wa kilaana ileile ukajikwaa,hakika utailiza sana nafs yako!...kumbe ukigundua hilo bora kujifanya hauoni ili uishi kulingana na ramani ya maisha yako.lakini mapenzi ni chanzo cha laana.
 
Maisha yenyewwe mafupi kula raha

inzi kufia kwenye kidonda sio ujinga
 
Mapenzi hayaeleweki unamuoa mwamamke kwa mapenzi halafu anacheat na mtu yeye anaamini anampenda zaidi ya wewe dah balaa
 
Mapenzi nikama uke ukiinama ukonyuma,ukichuchumaaukochin, ukisimama ukombele
 
Back
Top Bottom