Mapenzi machungu halafu matamu

Mapenzi machungu halafu matamu

BlackBerry

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
1,839
Reaction score
958
diam.jpg



Hivi mnadhani ni nini kinamrudisha diomond platnam kila wakati kwa wema?
 
Wema ni mrembo sana, hakika M/Mungu anastahiki sifa kwa kumuumba kiumbe hiki.........I will be back for more comments
 
Kwa nini usimuulize Diamond mwenyewe?

Ana account twitter, FB, Instagram na kwingineko...
 
mmh kwani yule wa kwenye besidei......na maua kitandani plus mishumaa imekuwaje!!!!!!!
watu8 mi siko twita...insta wala fb sa nitamuulizaje!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom