Mapenzi kwanza, Umri ni namba tu

Holoholo-Baba Kijacho

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,982
Reaction score
14,500
Jana nilibubujikwa na machozi ya huzuni baada ya kukataliwa na mdada fulani kisa kanizidi miaka miwili.

Nilikaa nikajiuliza kwa hiyo hii miaka miwili inatufanya nisitimize adhma yangu ya kuwa nae kimapenzi?

Jamani wewe kama dada unamkataa mwanaume aliyechini yako kiumri lengo lako linakuwa ni lipi sasa?

Bado nampenda na nitaendelea kumpenda japokuwa hana nia na mimi,ipo siku ataishi nami pamoja

Sio mbaya kuwa na mahusiano na mdada mwenye kukuzidi 2yrs.

Nakupenda sana my love japo umenikataa kwa kigezo cha umri.
 
Nakupenda pia ila naogopa nitakutesa mpenzi 😅
Tafuta ambaye umemzidi hata miaka mitatu ndiyo mtaendana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…