Mwaka 2005, nliingia rasmi ktk mapenz. Nkawa na binti mmoja akaolewa nikiwa masomoni. Wa pili nikiwa naye nlimtambulisha hadi nyumban nikiwa ninania ya kumuona nikamfumania. Watatu nikiwa chuo nikampata mwngne mmasai, 2kapendana sana, wakati penz lmepamba moto kuna siku akanambia anamimba alafu sio yangu. Niliumia sana,, sasa wadau mnanishauri nin maana umri unaenda na moyo wangu umechoka kupenda coz kama ni maumivu yamezidi, najaribu kujilazimisha kupenda lakin moyo hautaki. Naomba ushauri
Mkuu,, wakatoliki (RC) tunaambiwa "kama huwi padre/brother unatakiwa kuoa"
unatafuta mke?huwa nashangaa sana why vijunior member vinaingia na gia hizi?
unatafuta mke?huwa nashangaa sana why vijunior member vinaingia na gia hizi?
Mkuu,, wakatoliki (RC) tunaambiwa "kama huwi padre/brother unatakiwa kuoa"
Tafuta mtu sahihi, sehemu sahihi na wakati sahihi.
Tafuta mtu sahihi, sehemu sahihi na wakati sahihi.
Una matatizo kwa nini utake kumuona, lazima kwa mtindo huu utafumania tu. Hiki ni kilio cha kujitakia, waswahili husema ukimchunguza bata huwezi mla. Omba kwa mungu umpendae usimfumanie.Mwaka 2005, nliingia rasmi ktk mapenz. Nkawa na binti mmoja akaolewa nikiwa masomoni. Wa pili nikiwa naye nlimtambulisha hadi nyumban nikiwa ninania ya kumuona nikamfumania. ......