Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,029
- 61,926
Mkuu unamaanisha ukifanya hivyo usaliti utapungua?Kutoka out na kula pamoja aise hawa viumbe sijui wana nini ukizoea kulA nao ni kama addiction
Wapo wanaoamini mapenzi ni tendo la ndoa tu mkuuYote hayo uliyoorodhesha.
Kwa muda gani mkuu?To have fun and babies together
Usaliti hauwezi kupungua,mwanamke hata umpe nini atachepuka tuMkuu unamaanisha ukifanya hivyo usaliti utapungua?
Kwa mwanaume akichepuka inakuwajeUsaliti hauwezi kupungua,mwanamke hata umpe nini atachepuka tu
Mapenzi kwako ni nini?
Je,ni kuishi pamoja, kula pamoja, kuoana, kutoka wote out pamoja, kutembelea ndugu, kuzaliana, kufanya tendo la ndoa, kusaidia watu, kutumiana hela, kupigiana simu, kuandikiana barua, kuoga pamoja au ni kitu gani wakuu?
Sawa mkuuNdio maana unaitwa Equation x ni ili uwe unatupa maswali mengi kama haya
ha ha ha kwa hiyo mkuu kila unayefanya naye tendo huwa kuna mapenzi?Kufanya tendo la .........
ha ha ha haI can't explain mkuu jinsi rahaa ninazo pata kwa mrembo kvant ananisahulisha kila kitu ni company nzuri
I just want to be with kvant for the rest of my life