Hassan J. Mosoka
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 682
- 323
Inawezekana bwana mbona wangu nimempata kupitia mtandaoni tena hapa JF :bange::bange:
Ndugu zangu nionavyo ni kuwa sisi waafrika watanzania in particular kutafuta wapenzi au wachumba kwa njia za mtandao hatuwezi kabisa na wala hili si letu ingawa tunajitahidi na kujaribu kulitekeleza.
Moja kati ya sababu nyingi ni hulka yetu, mara nyingi mahusiano kati ya ke/me kuwa hayahitaji masimulizi mengi kabla yashike kasi, sisi ni watu wa moto na mahusiano yetu huongozwa na hisia kwanza (inner feelings) kabla ya tabia ya mtu mwenyewe. Mahusiano ya wazungu ambao hutumia muda mwingi mtandaoni kuelezea wapenzi wao watarajiwa like/dislike including interest ndio hasa wanaweza haya mambo manake wao interest huoana kwanza kabla ya feelings au sijui ndiyo tunaita mioyo kuopendana. wao wanaweza haya manake kama walikubaliana mmoja atakuwa anapika na mwingine anaosha vyombo siku hilo likibadikila linaweza kabisa kuwatenganisha tofauti na sisi ambao huingia kwenye ndoa bila aina hizi za makubaliano. Nashauri tuendelee na mfumo wetu kwa sababu una long lasting and loving relationship. Haya ya mitandao tuwaachie wazee wa majuu ambao ndo zilishakosa tafsri siku nyingi

Hongera shika sana ullichonachoInawezekana bwana mbona wangu nimempata kupitia mtandaoni tena hapa JF :bange::bange:
Uzushi sana sana wewe chati jifurahishe wala usijaribu kabisa coz waliofanikiwa ni wachache sanaGaga big up. Mapenzi ya mtandaoni ni utata mtupu. Imagine anavyochat na wewe ndio anavyochat na wengine; kama yuko nje ya nchi basi akishuka kwenye ardhi ya tanzania ana diary yake ina wademu au wanaume zaidi ya 25, wote anataka kuwaona, akutane nao ili aanze uchakachuzi wa kujua nani anafaa.
Nyie wenye bahati hiyo shukuru Mungu, ila kumbuka kabla ya kukuthibitisha ameshakutana na aliochat nao wengi kama si kulala nao pia. Watch out mapenzi ya mtandaoni ni feki some of them, kama huoni sasa hivi basi ujue utaona baadae.
I BLESS YOU ALL GUYS. Have a nice weekend.
Uzushi sana sana wewe chati jifurahishe wala usijaribu kabisa coz waliofanikiwa ni wachache sana
Tupe mifano mitatu waliofanikiwa kwenye mtandao na wanaishi kwa raha mpaka sasajamani kwa yule anayetafuta mke ama mume wa kweli njia zote ni sahihi.binafc nilihenya sana kupata mke wa kweli lkn nilipata msaada baada ya kusoma kitabu fulani kiitwacho NDOA YANGU NINGEJUA ambacho kimebainisha makosa makubwa tunayofanya kupata wenzi na kwa nini ndoa nyingi hazina amani na zinavunjika