Mapenzi Kizunguzungu

hahaha mzee wa michepuko siku nyingine usirudie kumuudhi Dena
miss neddy unanionea bana
Sina amri kama za watu wa kanda maalum wala kama kamanda wa operation
Mimi nikiwa kwenye hizo anga nakuwa more than Romeo najua kubembeleza najua kumweka kwenye mazingira mhusika najua namna ya kumjali na kujali hisia zake
Sio kila muda amri tuu kama tuko kwenye operation vunja maandamano bana
cc Tized, utafiti na BAK
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Kaka mkuu vipi mbona waguna nimesubiriwa kwa dakika kidogo nikaachwa na unajua huku Mabwe Pande issue kuingia mwenyewe na starlet usiku 'Kaniudhi haatari'

Pole sana Dena Amsi

ila hii topic yako imenifundisha jambo moja ambalo nilikuwa nalipuuzia hapo kabla
 
Last edited by a moderator:
Naam Mkuu Mr Rocky mapenzi ni maridhiano kati ya watu wawili walioamua kupendana hakuna sababu yoyote ya kutoa amri kama unatoa amri kwa kuruta. Usilolipenda kufanyiwa wewe usimfanyie mwenzio. Mzima Mkuu lakini? Weekend yako inaendeje Mkuu?




 
Last edited by a moderator:
"Kumbuka wimbo wa Hayati Juma Kilaza, wa Morogoro", Ni makosa ya malezi mabaya. Na kwa maana hiyo siyo
wote wenye tabia hiyo !!! Na malezi siyo ya wazazi tu hata duniani alikopitia kunaweza kuchangia.
Baadhi ni majanga......yaani hawana huruma muda wote wanaona mwanamke mkosaji,kipelekeshwa yaani arghrrrrr
 

he!..eti nisingemuowa angekuwa na nani, mwanamke akikwambia hivyo ni dharau kubwa sana, kama anajua angekuwa na nani si atambae mbele!
 

Umeongea point sana,wanasahau kuwa mapenzi ni vitu vidogo kama hivyo ndio vinamatter,imagine mtu hawezi hata siku moja kukusindikiza unapopandia daladala kama mlikuwa kwenye date kwa mfano.Mkitoka tu nje ya hotel anakuaga bye!!lols!!!!
 
Tatizo ni kwamba wao ni waanzilishi wa safari hivyo wana haki ya kukutueni mabwepande japo wewe waenda wazo hill. Next time anzisha safari mwenyewe.
 

Ulivonifanyia sio poa nilikunyamazia ila naona unaleta longolongo imebidi niseme 'TABIA YAKO MBAYA SANA'
 
Last edited by a moderator:
U didn't understand my point at all.... Sina shida hiyo ya kuonewa huruma for ur info nachosema mimi why yeye aseme nisubiri naja utakaa mpaka four hours inasubiri but wewe 20minutes ni issue tena haisomeki soma thread na sio kukurupuka right??
Think you are insane madam.
Go read your post careful and tell me if nimekurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…