Pole sana DA,
Ndo maisha ya ndoa hayo na raha zake.
Mtu single atayajua wapi hayo?
Ukiuza utumbo basi uwe na mapenzi na nzi.....Take your time and give some feedback please!
Na wanaume wengine Duu wakali, nilienda nyumba flani kununua kitu sasa wakati mwenye nyumba kaenda kutupa mfuko cm ya mpenzi wake ikaita kupokea huyo alokua anaongea Sijui kamsemesha kitu gani kibaya alipo rudi Yule mdada jamaa alianza kufokaa yani nikijisikia vibaya,yani nimejiulizaa hivi ni sifa au hashuo?
Pole sana aise..kuna kesi moja nliipata oficini nkamwambia mshkaji..ivi ulishawahi kujiuliza kama nisingemuoa huyu mtu angekuwa na nani..!? Kwa sababu wakati mwingine tunaweza kuwa chanzo cha kusababisha mtu kuishi maisha ya tabu duniani, na wakati tungemwacha si ajabu angepata mtu ambae angemuheshimu zaidi..
Jameni hajanifokea ila kaniacha main road bila kunisubiri twende wote thats the issue na home ni pori tupy
I think hashuo zimemzidi sana huyu leo atadeki bahari we ngoja tu
Acha tu my bro ni hatari..... But dawa yake iko jikoni ngoja tu....
Haha haambwa ukmjua jina hakusumbui
Acha tu my bro ni hatari..... But dawa yake iko jikoni ngoja tu....
Sema hakyamungu.....Asee mapenz matam.mkiwa huru na sio kufokeana bila hiyana ila mbwa ukmjua jina hakusumbui
Mi naona mpige chini maana hakupendi