Hakuna jambo baya dunian kama kusubiri huruma ya mtu.
Timiza wajibu wako, tenda kwa kiasi chako, imetosha ukisubiri huruma utaumia kila iitwapo leo
Asee mapenz matam.mkiwa huru na sio kufokeana bila hiyana ila mbwa ukmjua jina hakusumbui
Sio mapenzi tu ila yeye tu ndo akucheleweshe ila sio wewe mbaya sana kunifokea no way hathubutu shida kaniacha main road na kuingia kitaa yahitaji moyo......
Unajua nakuheshimu??? I don't thinl kama una understand navokwambia hivo plz behave urself
Kaka mkuu vipi mbona waguna nimesubiriwa kwa dakika kidogo nikaachwa na unajua huku Mabwe Pande issue kuingia mwenyewe na starlet usiku 'Kaniudhi haatari'
kisanduku cha huruma kilisahaulika kuwekwa kwenye mioyo yao