Kwani mapenzi yanalazimishwa?Stress za kujitakia?
Mwache mpaka pale akili italapomkaa sawa atajirudi mwenyewe kwa huyo binti
Mmmh! Mbona kama inakuhusu wewe vile!!!
staki nataka bana................
nakupa hii njia mshike mkono rafiki yako kisha muanze kuspin pamoja halafu umwachilie kwa nguvu wakati spinning speed ni kali atakachokipata basi ndicho jibu
Umemaliza kila kitu!Vijana bwana! Mambo yenu yananichosha! Its hard to believe kuna mtu anamaliza chuo Virgin!!!!!!!! (With the exception of my self coz im still a virgin cc The Boss)
Kwa hio huyo rafiki yako wanakaa wanadscuss kabisaa leo unipe papuchi hio! Damn!!!!!!!!!!! What happened to going with the flow. Mnakaa tu, nyege zinawaanza, mnalianzisha kidogokidogo ukija kustuka USHALIWA!!!!!!!! TENA KWA MKOPO ambao ni BAD DEBT huwezi kuurecover!!!!!!!!
Hizi mambo za kudiscuss hazifikagi mbali coz the answer is always FLAT NOoooooo!!!!!!!!!!!!!! Mtu umpe chansi ya kufikiria na kurudia muongozo wa ze Bible afu akubali!!!? Unachekesha walionuna!
MAMBO YA BABA NA MAMA NAWAACHIA WENYEWE!!!!!!!!!!! Akuuuuuuu! Mi bado mdogo mtoto wa watu!
Hayo ndo madhara ya binti mlokole yaani moyo wake kampa yesu yaani hatikisiki hata kidogo.
Wa kutikiswa hivyo ni sisi vicheche sio binti mlokole tehe tehe tehe utachora chini huu mwaka.
nakubaliana na wewe kabisaaaaaaaaaaaaaa rafikiHayo ndo madhara ya binti mlokole yaani moyo wake kampa yesu yaani hatikisiki hata kidogo.
Wa kutikiswa hivyo ni sisi vicheche sio binti mlokole tehe tehe tehe utachora chini huu mwaka.
Atafute kanisa analosali nae akaoke.....watakutana kwenye mikesha.
ha haaaa, na akikuta anaimba kwaya na yeye ajiunge, kazi itakuwa rahisi zaidiAtafute kanisa analosali nae akaoke.....watakutana kwenye mikesha.