Mapenzi kizunguzungu

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Sometimes unakuta una mahusiano na mtu alafu unampenda sana lakini unajua kabisa ana tabia mbovu na hatarishi kama ukiamua kumuoa lakini unakomaa nae tu hivyo hivyo kwa vile kumuacha unashindwa!huu unaitwa utumwa wa hiari
N:B mada zangu ni fupi fupi tu kama pira biriani [emoji28]
 
Vipi kimeshanuka nn mkuu[emoji3]
 
Endelea kuuza simu mapenzi waachie wenyewe. Mimi naendelea kuuza bidhaa zangu.
 
Nashindwa kuelewa mtu unampendaje demu/ mke wako uliyekutana naye ukubwani akiwa na meno 32,
Watu wa kuwapenda Sana ni wazazi / Walezi wako , watoto wako na wadogo zako basi,, Unatakiwa kujuwa kuwa mke / demu wako siyo ndugu zako ni Kama mpita njia tuu
 

Hujambo mrembo??
 
Tutoe sadaka, ibada imesha isha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…