mapenzi kati ya kikwete na rais wa Sudan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mapenzi kati ya kikwete na rais wa Sudan

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwana wa Mungu, Jan 7, 2009.

 1. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mara nyingi nimekuwa nikijiuliza, kikwete na urafiki wake na Rais wa Sudan, yule gaidi anayewasapoti janjawid kuwaua watu weusi wa kusini ambao wengi wao ni wakristo. matatizo mengi yametokea, na inashangaza kuona kikwete anatoa kauli ya kuwashutumu watu wa ulaya kutofuatilia mambo ya ndani ya africa, ati kutokana na kutoa ile hati ya kumkamata gaidi rais wa Sudan. nilishangaa pia kuona kuwa kikwete amemwalika rais huyu kwenye kikao na wamarekani waliokuja kutalii kule arusha, wasilete faida yoyote kwa nchi, wakati maaskari wetu wamewalinda na mihela mingi tumewagarimikia. nimekuja kushangazwa pia kuona kuwa, raisi kikwete hana uelewa mzuri wa middle east, kwasababu muda mwingi amekuwa akiwalaumu israel, bila kuwalaumu Hamas na Hezbolah.

  Tanzania, tunao uhusiano wa kibalozi na Palestina, lakini hatuna uhusiano na Israel, wakati tanzania asilimia 30 ya watu wanaisapoti israel, kwasababu ni wakristo na dini yao inatokana na huko na mengi yanafanyika yako kwenye Bible. badala ya kuleta mambo ya kueleweka yatakayoleta amani ya milele, mfano kulaani roketi za hamas, yeye anaongea tu upande mmoja ananyamaza. Tanzania imelaaniwa kwa kuua vizee, albino na kuchuna ngozi, imemsahau Mungu wa kweli ndio maana ni moja ya nchi za mkiani kwa zile poorest. na si ajabu, kuona watu mtaani, wanasema, hivi, ni kweli kwamba mafisadi wote walikuwa wakristo tu?

  Mimi pia najiuliza, hivi, ni kweli mafisadi wote, ni wakristo tu? hasa naongelea wabongo, sio wahindi, hasa mawaziri. Mimi nachukia mafisadi/wezi sana, na napenda wale kina Yona, mramba na wengine, wakaishie Jela maisha yao yote. Lakini, napenda hii process isiwe inalenga seriously kwa wakristo tu, waislam mafisadi pia wasiachwe...mfano kina manji, yule wa tics, yule msabaha, yule mdini wa NSSF, na wengine wengi.

  Kikwete, nakuomba, nakushauri, usiingize udini kwasababu wewe ni muislam rais. kwasababu utajichafua. usiwaunge mkono kina rais wa Sudan kwasababu ni nchi ya kiislam kwasababu ya dini yako. uwakamate mafisadi wote, lakini usiwakamate kwasababu ni wakrisot. Kile kikao umeenda kukaa na mashehe peke yao bila wakristo kule Dodoma/Kondoa, mlikuwa mnaongea nini? haya mambo ya kadhi, na OIC najua wewe umenyamaza tu ili tukuchague tena kwasababu unajua ukifanya sasahivi kabla ya uchaguzi hautapata kura mwaka kesho. na ukija kupata kura mwaka kesho, kwasababu unajua kuwa wewe huna dili tena na urais, utafanya yote yaliyokuwa moyoni mwako. watu wapole kama wewe wanaweza kuwa wabaya sana, kwasababu wanafanya mambo kichinichini. tunakuomba, kwasababu wewe ni rais, usifanye mambo kuwasikiliza upande mmoja wa dini yako, hasa waislam. ndio maana umenyamaza kimya kwenye kadhi na oic. uwe fair. na, tukija kukuchagua mwaka kesho(because i know utapita tu), tunaomba usifanye lala salama. tafadhali. pia, naomba uwaambie watz waandamane kwaajili ya Darfu, sio Gaza.
   
 2. G

  Giroy Member

  #2
  Jan 7, 2009
  Joined: Dec 17, 2008
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwana wa Mungu,ndani ya masaa 24 umeleta hoja zinazonigusa sana.muungwana acha ubaguzi,nchi hii siyo ya dini fulani.
   
 3. Recta

  Recta JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2009
  Joined: Dec 8, 2006
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu Mwana wa Mungu, hongera sana kwa mada yako hii. Ni pevu kiasi cha kutosha na imenifunua zaidi akili hasa katika mambo ambayo sikuwahi kuyafikiria (UDINI). Sijui kama unalosema ni kweli ama ni coincidence tu. Ila kama kuna ukweli wowote katika hayo, basi hatari kubwa inakuja.

  Mkuu suala la mafisadi umelisemea vizuri kama ambavyo limeshasemwa sana hapa JF. Hivyo sina la kuongezea.

  Suala la Israel na Palestine, ningependa kukusahihisha kidogo tu. Naamini kuwa sasa tunao Ubalozi wa Israel nchini tangu mwanzo wa miaka hii ya 2000. Labda kama umefungwa, sijui.

  Maono yangu tangu awamu ya 2, ni kuwa Ma-Rais wote walifanya kazi nzuri sana katika kipindi cha kwanza cha utawala wao. Baada ya kushinda kipindi cha pili, walianza kujiandaa kuondoka kwa kulipa fadhila ama hata kuachia uvunaji holela, uvunjaji maadili na mambo mengine maovu kutendeka. Huwa nianhofu sana na kipindi cha 2 cha uongozi nchini. Inawezekana, hali ikajirudia tena. Mkuu, niliwahi kusoma kwenye gazeti (ambalo sasa limefungiwa kwa miezi 3), kwamba zipo njama za kumng'oa Muungwana 2010 kidemokrasia. Na tetesi nyingi tu ziliwahi kutangulia kabla ya kuandikwa kwenye gazeti hilo. Hivyo sijui kama yaliyosemwa ndivyo yatakavyokuwa. Kama yakiwa, nahofia kuwa inawezekana kusiwe na uwezekano wa kufanyika hayo unayoyasema.
   
 4. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  aisee, hata mimi kaka huyo braza/sister, nilikuwa najua kuwa tz hamna ubalozi wa israel. nimeangalia kwenye internet, wanasema kuwa ofisi zake zingekuwa Dodoma, sio Dar, lakini ni Non-resident. sasa ubalozi wa aina gani huo? go read here..Israel Embassy and Consulate Directory, utapata jibu.
   
Loading...