Asuuze tu macho ila nisimuone, nkimuona kesi....
Huko n kuendekeza tamaa hakuna lolote. Hivi umekaa na mpenzio mahali halafu unageuka had shingo inataka kuvunjika kisa umemuona msichana mkali sana kapita hiv hata nafs haikusuti...sjui sio wote mim hua sina time na mtu na napokua na mwenza wangu na concetrate pale nilipo kwenye kile tunachoongea hizo n.tamaa tu hakuna kingine ridhikeni na mlivyonavyo mtaka mingi nasaba hupata mingi misiba.
To hell na uhendisamu wao, nlienae ni hendisamu zaidi yao ndo maana nipo naeBila ya shaka wewe ndio hakimu !!! Nini hukumu yako ? je wewe kwa upande wako alot of handsome boyz arround and they have what unafikiria , you know ! sense it ! Unaangalia unafikiria ingawa huwezi kusema yaani unahangaika na ububu ,sababu tayari una wako pembeni ,lakini kiumbe kimetimia ! Unasemaje hapo au ndio kama mamaafacebook
Umejuajee eeei umejuaje ~~?? Je tuseme anaeisifu mvuwah ! Kuridhika ?? Even though kumbuka mapenzi ni kama majani ! Eti hayana wakati hayachagui !
To hell na uhendisamu wao, nlienae ni hendisamu zaidi yao ndo maana nipo nae
siwezi kuwa pangaboi nazungusha shingo kumcheki mtu wakati npo na mupenzi, kwanza ni kumkosea heshima huko
Hivi mbona umekalia kimashindano na sijui umevaa jezi nambari ngapi ,let us go ,by the way haina haja ya ku go deep na kukusaikoloji ,lakini nikuulize suali ,baina yetu mimi na wewe na wana mmu ,hivi hujawahi kupenda ? Ikiwa unafuga na ukifugacho ni aina ya dume ,bila ya shaka utapenda kumuita jina zuri ? jina gani ! Haya kama ni muangaliaji wa movie utakuwa unapenda movie flani flani unafikiri ni gani na muigizaji gani iwe wa kike au wa kiume ,tuchukulie wa kiume ,awe wa kutoka shemeu yeyote ile ,? Please unaweza kunipa jibu ? usigune !
, Nani kakwambia kama mali sio yako ? Umeshaiita mali ,it sounds something lovely ,okay unamaana unaweza kuumiza shingo kwa mali isiyo na mwenyewe ? Usiseme mh !
Nani hapa JF na haswa humu MMU atakuamini kama hujaelewa hata nukta ,yaani mijicho yako ilivyokuwa mikubwa hujaona ndani ,mbona makubwah ! Unataka kuniambia akili yako haijatulia,maswali kedekede nimeuliza ,wewe hujayaona wala hujayafahamu ,"It takes a real man to make a woman satisfied......." ,is this sentence makes senses to you ?sijakuelewa hata nukta
Unanikanyagia waya tu wewe...Nani hapa JF na haswa humu MMU atakuamini kama hujaelewa hata nukta ,yaani mijicho yako ilivyokuwa mikubwa hujaona ndani ,mbona makubwah ! Unataka kuniambia akili yako haijatulia,maswali kedekede nimeuliza ,wewe hujayaona wala hujayafahamu ,"It takes a real man to make a woman satisfied......." ,is this sentence makes senses to you ?