Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mapenzi kama haya tabu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mr Mayunga, Oct 18, 2012.

 1. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Habari za jioni,hebu naomba tushauriane hili limenikuta.Nina g'fnd wangu anakituko ambacho sijakifurahia,alinikaribisha room kwake siku 1 tu kiukweli tulishea oral sex!lakini baada ya hapo hataki niingie tena ndani ya room yake,nikifika house anayokaa ananistopisha nje,anataka tuongelee nje.Hataki ni mguse.Naombeni mnifumbue ni nini kimejificha hapa?
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 6,945
  Likes Received: 1,640
  Trophy Points: 280
  Oral? vipi habari ya mswaki.........unatumia vyema?
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,404
  Likes Received: 1,084
  Trophy Points: 280
  Haujamridhisha
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 39,787
  Likes Received: 6,531
  Trophy Points: 280
  Duuh hapo inabidi ujichunguze kwanza! Mwambie akwambie tatizo ni nini kwani inavyo elekea haitapita mwezi ata kwambia msitishe mapenzi bila wewe kujua sababu. Jaribu kumuuliza ulipo kosea ili ujirekebishe!
   
 5. N

  Natalia JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,490
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Be gentle take it slow .dont be a stalker
   
 6. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hataki ummege halafu usepe si wajua vijana wa sikuhz ,wenyewe mnajisifu mnapiga mhuri.kwan mmekuwa kwenye uhusiano kwa kipindi gani?malengo yako yepi katika uhusiano huo na je umeyaweka wazi kwake?kama hujawa wazi hata ningekuwa miye ningechukua tahadhari wanasema protect yourself.
   
 7. mayonise

  mayonise JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 259
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  akili kihwan mwako
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,072
  Likes Received: 1,317
  Trophy Points: 280
  Ama ulimng'ata,lol. That is kama uliswaki meno yako vyema.
   
 9. Dancani

  Dancani JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 800
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kwani kunaulazima sana wa wewe kwenda kwake? Je ukimwita kwako au sehemu nyingine yeyote anasemaje?
   
 10. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,750
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mdomo huo, harufu mbaya!
   
 11. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 4,760
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  ulinyonya ndutu yake? Au sijui maana ya oral sex?
   
 12. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,753
  Likes Received: 676
  Trophy Points: 280
  una haraka sana.............mpe muda akumisi kwanza na usome na upepo
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,942
  Likes Received: 2,488
  Trophy Points: 280
  ukitaka kupuliza moto....hakikisha meno yote yapo ndani ya kinywa.....usikenue.....utajaza mate kwenye moto.....
   
 14. a

  awuyegani Senior Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakutaki!!!!!!!!!!!!!!
   
 15. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,877
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Soma alama za nyakati, hutakiwi tena maana alikuona una papara sana wakati wa hiyo oral sex.
   
 16. W

  Wakwetu Senior Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dalili ya mvua.........
   
 17. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0

  Usipoteze muda. Kwa kifupi ni kwamba umeshindwa "INTERVIEW" mashart na vigezo vimezingatiwa. Jaribu sehemu nyingine.
   
 18. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Je alifanikiwa kushika kibamia chako?if the answer is YES,no one can help you mr mayunga!
   
 19. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,532
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  ukipigaga mswaki unasugua vizuri ulimi wako?
   
 20. M

  Mr Mayunga JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mswaki kulikua hamna shida!
   
Loading...