Mapenzi kabla ya ndoa

Kwa dhambi ya uzinzi wengi wetu tutaangamizwa nayo aiseee..... Make siku hizi ji fahari kuzini!!

kuna wakati huwa najisemeaga hata Mungu angetupa amri tatu tu (usizini, usiibe na usiseme uongo) bado tungechemsha tu!!
 
kuna wakati huwa najisemeaga hata Mungu angetupa amri tatu tu (usizini, usiibe na usiseme uongo) bado tungechemsha tu!!

Kwa kweli tena hiyo ya uongo ndo balaa watu wanaongopa ile mbaya!
 
Sasa unataka mpenzi wa nin kabla ya ndoa?
 

am not advocating for no sex before marriage or kuikubali.. kuna madem wawili nawajua baada ya kuingia ndoani, wa kwanza jamaa alikataaga sex hadi ndoa kufika ndani jamaa jogoo hapandi af ni ms**ge, wa pili jamaa karud zake toka UK in 2 months wakafunga ndoa .. kuzoeana kujuana akagundua jamaake ni sodomy si kitoto. thus sometimes inafaa sometimes haifai kwa kweli coz now hao gals wanahangaika kutafuta divorce kwa mbinde right now.
 

Tatizo linakuja pale unapowekwa kwa matumizi ya baadaye (for future use), ilihali yupo wa matumizi ya sasa.
 
Hata Mimi wangu ananikomalia nimgegede wakati mi nataka nigegede baada ya ndoa illuh
 
Last edited by a moderator:
Maisha yenyewe yameharibika. Watu wana hofu ya kuuziwa kanyaboya. Mkishafunga ndoa ndo msalaba wako huo
 
Sio lazima kufanya sababu wengi wanafanya....reason the implications of it to your life. Dini is more than mere dos and don'ts...there is a theological as well as practical meaning of such issues.
 
ni maelewano tu nakuelewana kwenu ndo kutawafanya utapata majibu ya maswali yako
 

Wenye Kumbukumbu tunapo toka na tulipo sasa watakua wanatambua kua ngono kabla ya ndoa ndio tatizo kubwa tulilonalo wakati huu. Let us think otherwise on this issue friends.
 

Acha unyimi wewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…